Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,594
- 5,579
Habari wadau,
Leo asbuhi nilikuwa naskiliza Redio Swahiba FM (102.9) ya huko Unguja, kituo hiki kina kipindi cha asbuhi kinaitwa "Amka Nasi".Moja ya habari iliyonifanya niiskilize kwa makini ni hii ya "WAFUASI WA CUF KUWAZUIA WALE WA CCM WASICHOTE MAJI".
Wakati habari hiyo ikirushwa hewani ni kwamba Kuna kisima kilijengwa na mbunge wa CUF miaka ya nyuma,sasa eneo lilojengwa kisima ni uwanja wa mama mmoja ambaye ni Mkurugenzi wa Haki za Binadamu wa CUF (nimemsahau Jina).Yule mama alipohojiwa alisema kuwa wao wanatengwa, wanabaguliwa na hata watoto zao hapaewi ajira serikalini kwakua wanafungamana na CUF,na isitoshe wanapigwa, sasa kwakua hawana nguvu wao wameamua kuzuia wafuasi wa CCM wasichote maji kwenye hicho kisima.
Haikuishia hapo nikamsikia mfuasi mwingine wa CUF akisema kuwa kisima ni chao na kilichimbwa na mbunge wao,sasa wafuasi wa CCM kama wanataka maji basi waiambie wizara ya maji iwapelekee maji.Nikamsikia mbunge wa eneo hilo (Mkoa wa Mjini Magharibi) akiwasihi wananchi wasiwe na chuki na mambo ya ubaguzi kwani wote ni wananchi.
Then akazungumza Mkuu wa Mkoa,yeye aliamrisha wahusika wakamtwe na watiwe ndani,na pia akasisitiza kuwa kwa sas akamati ya sheiya niyo itasimamia kisima hicho,na alitoa angalizo kuwa lolote litakalotokea basi hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kuweka sumu kwenye kisima.
NILICHO NOTE:Inaonesha kuwa hali bado si nzuri kwa wenzetu huko visiwani,kwani pamoja na habari hii pia kuna habar za wananchi kuharibiana mazao mashambani,na zaid ya watu 90 wameshakamatwa.Nadhan suala la maridhiano lichukuliwe haraka sana ili kunusuru mustakabali wa wenzetu kule,binafsi nikajiuliza "hawa jamaa ni waislamu na huu mwezi wa ramadhan,kama wameweza kuzuia watu wa kada nyingine wasichote maji basi kuna tatizo kubwa sana.Radio stations za Visiwani huwa zinaripoti matukio ya visiwani kwa uwazi sana bila kuficha,