Pemba imeikataa CCM, inakataa kurudiwa kwa uchaguzi Zanzibar

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,136
17,871
Jana, wakati Baraza la Uongozi la CUF likifanya mkutano wake kule Buguruni Dar es Salaam, Pemba ilisimama. Ilisimama kimya na wima ikifuatilia kitakachojiri mkutanoni. Pemba ilikuwa ikisubiri kwa hamu uamuzi wa CUF juu ya kushiriki au kutoshiriki uchaguzi wa marudio wa Zanzibar wa hapo tarehe 20 Machi mwaka huu.

Baada ya kikao kumalizika na kupatikana kwa taarifa kuwa CUF imeamua kutoshiriki uchaguzi huo wa marudio, Pemba iliripuka kwa shangwe, mayowe na nderemo kana kwamba Taifa Stars imeingia fainali za kombe la dunia. Au ni kama Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kiuchumi barani Afrika. Pemba ikazizima.

Tafisiri ya hapo ni hii. Pemba imeikataa CCM na imeikumbatia CUF. Hata kwenye matokeo ya uchaguzi wa Oktoba yaliyofutwa, CCM ilipigwa kwa KO huku Pemba. Pemba na CUF, CUF na Pemba. Kama ni ngome, basi hapa Pemba ni ngome ya CUF. Linaposemwa au kufanywa jambo lolote na CUF,jambo hilo ni la Pemba yote. Unguja ni pasu kwa pasu. Wapo wa CCM wa kutosha, CUF na vyama vingine.

Tafsiri ya pili ya nderemo za Pemba ni kuwa Pemba imekataa uchaguzi wa marudio. Wanataka waliowachagua Oktoba mwaka jana wapewe nafasi zao na Zanzibar isonge mbele. Uchaguzi wa marudio unatakiwa Unguja na si Pemba. Uchaguzi wa marudio haupokelewi kabisa hapa Pemba.

Pemba iko tofauti!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Pemba)
 
Jana, wakati Baraza la Uongozi la CUF likifanya mkutano wake kule Dar es Salaam, Pemba ilisimama. Ilisimama kimya na wima ikifuatilia kitakachojiri mkutanoni. Pemba ilikuwa ikisubiri kwa hamu uamuzi wa CUF juu ya kushiriki au kutoshiriki uchaguzi wa marudio wa Zanzibar wa hapo tarehe 20 Machi mwaka huu.

Baada ya kikao kumalizika na kupatikana kwa taarifa kuwa CUF imeamua kutoshiriki uchaguzi huo wa marudio, Pemba iliripuka kwa shangwe, mayowe na nderemo kana kwamba Taifa Stars imeingia fainali za kombe la dunia. Au ni kama Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kiuchumi barani Afrika. Pemba ikazizima.

Tafisiri ya hapo ni hii. Pemba imeikataa CCM na imeikumbatia CUF. Hata kwenye matokeo ya uchaguzi wa Oktoba yaliyofutwa, CCM ilipigwa kwa KO huku Pemba. Pemba na CUF, CUF na Pemba. Kama ni ngome, basi hapa Pemba ni ngome ya CUF. Linaposemwa au kufanywa jambo lolote na CUF,jambo hilo ni la Pemba yote. Unguja ni pasu kwa pasu. Wapo wa CCM wa kutosha, CUF na vyama vingine.

Tafsiri ya pili ya nderemo za Pemba ni kuwa Pemba imekataa uchaguzi wa marudio. Wanataka waliowachagua Oktoa mwaka jana wapewe nafasi zao na Zanzibar isonge mbele. Uchaguzi wa marudio unatakiwa Unguja na si Pemba. Uchaguzi wa marudio haupokelewi kabisa hapa Pemba.

Pemba iko tofauti!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Pemba)
Lazima kieleweke......!!!!
 
IMG-20151025-WA0053.jpg
IMG-20151025-WA0053.jpg IMG-20151025-WA0053.jpg
 
Madaraka ni kitu cha ajabu sana. Ukimwangalia Dr She in sura yake unapata picha kuwa no MTU mcha Mungu,mwadilifu,mwenye huruma ambaye hata kuchinja kuku wa kitoweo inaweza kuwa mtihani kwake.
Ijumaa ukimuona alivyokunja miguu msikitini mbele za Mola wake utauona ukaribu wake na Mola wake na kuwa pengine njia ya kwenda peponi ni nyeupe kwake.
Lakini madaraka yanamgeuza mtu huyu hata hawezi kufikiri tena juu ya hatari ya hiki wakifanyacho na hatima ya maisha ya watu, wake kwa waume na watoto.
Hebu akienda leo msikitini amwombe mola wake yeye ndiye amuongoze nini afanye tofauti na anavyoambiwa na chama chake. Hukumu yake haitaihusisha NEC au CCM siku ile ikifika
 
watakaopiga kura pemba mradi waheshimiwe na kusiwe na vitisho. wapo wengi tu wako tayari kupiga kura tena ila mtindo wa vitisho kama vile vya al shabaab unaotumiwa na cuf kama usipodhibitiwa hapigi kura mtu pemba.
 
Madaraka ni kitu cha ajabu sana. Ukimwangalia Dr She in sura yake unapata picha kuwa no MTU mcha Mungu,mwadilifu,mwenye huruma ambaye hata kuchinja kuku wa kitoweo inaweza kuwa mtihani kwake.
Ijumaa ukimuona alivyokunja miguu msikitini mbele za Mola wake utauona ukaribu wake na Mola wake na kuwa pengine njia ya kwenda peponi ni nyeupe kwake.
Lakini madaraka yanamgeuza mtu huyu hata hawezi kufikiri tena juu ya hatari ya hiki wakifanyacho na hatima ya maisha ya watu, wake kwa waume na watoto.
Hebu akienda leo msikitini amwombe mola wake yeye ndiye amuongoze nini afanye tofauti na anavyoambiwa na chama chake. Hukumu yake haitaihusisha NEC au CCM siku ile ikifika
hata nkurunzinza yupo hivyooooooo ila mioyo yao... walaa

ama kweli sura sio roho
 
Madaraka ni kitu cha ajabu sana. Ukimwangalia Dr She in sura yake unapata picha kuwa no MTU mcha Mungu,mwadilifu,mwenye huruma ambaye hata kuchinja kuku wa kitoweo inaweza kuwa mtihani kwake.
Ijumaa ukimuona alivyokunja miguu msikitini mbele za Mola wake utauona ukaribu wake na Mola wake na kuwa pengine njia ya kwenda peponi ni nyeupe kwake.
Lakini madaraka yanamgeuza mtu huyu hata hawezi kufikiri tena juu ya hatari ya hiki wakifanyacho na hatima ya maisha ya watu, wake kwa waume na watoto.
Hebu akienda leo msikitini amwombe mola wake yeye ndiye amuongoze nini afanye tofauti na anavyoambiwa na chama chake. Hukumu yake haitaihusisha NEC au CCM siku ile ikifika
kwa mimi nnaependa haki ningekaa pembeni haki ipite.....
 
Wajitenge tu maana CCM walishawatenga kwa kuwaita machotara na wakawatahadharisha kwamba wao siyo wazanzibari sasa kuna haja gani ya kuendelea kujikonba kwa CCM?
dhami ya ubaguzi ni mbaya km kula nyama za binadamu ulkishaanza huachi....... kuna speech ya jk nyerere iko hivi
 
Na tushukuru Mungu imeanzishwa na CCM wenyewe ingekua UKAWA hapo ungesikia watu wapo Central kila siku wanahojiwa
Maneno ya busara ya mwalimu yatakumbukwa sana!
Pemba watatengwa na unguja haitabaki salama watasema humu kuna wapemba pia kuna wafuasi wa CUF nako kitanuka!
 
Nina wasiwasi mkubwa kuwa Pemba kutazuka tena mapambano na hao watakaopelekwa kuendesha uchaguzi huko watafurushwa na masanduku yao kama si kukatwa vichwa.

Pemba huwa hakuna demokrasia ya kupiga kura watu huwa wanashinikizwa,kutishiwa ,kutengwa nk nashangaa watu wa haki za binadamu huwa hawendi pemba wakati wa Chaguzi.Waende safari hii wakaone vituko vya ubakaji demokrasia pemba.
 
Madaraka ni kitu cha ajabu sana. Ukimwangalia Dr She in sura yake unapata picha kuwa no MTU mcha Mungu,mwadilifu,mwenye huruma ambaye hata kuchinja kuku wa kitoweo inaweza kuwa mtihani kwake.
Ijumaa ukimuona alivyokunja miguu msikitini mbele za Mola wake utauona ukaribu wake na Mola wake na kuwa pengine njia ya kwenda peponi ni nyeupe kwake.
Lakini madaraka yanamgeuza mtu huyu hata hawezi kufikiri tena juu ya hatari ya hiki wakifanyacho na hatima ya maisha ya watu, wake kwa waume na watoto.
Hebu akienda leo msikitini amwombe mola wake yeye ndiye amuongoze nini afanye tofauti na anavyoambiwa na chama chake. Hukumu yake haitaihusisha NEC au CCM siku ile ikifika
Kabisaaaaaaa wala hujakosea ile sura yake aiseee n bonge ya mtakatifu
 
Muwatenge na wahindi basi ambao huwa wanafadhili kampeni zenu na kutoa maelfu ya lita za mafuta ku finance wizi aa kura huku bara!
hawa mashabiki wa ccm ni wale wanyonyaji wachache wanaojua wanachokipata ndo maana wanaleta magumashi weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Nina wasiwasi mkubwa kuwa Pemba kutazuka tena mapambano na hao watakaopelekwa kuendesha uchaguzi huko watafurushwa na masanduku yao kama si kukatwa vichwa.
Wakisusa imekula kwao bora washiriki waambulie angalau viti vya Wawakilishi na Mesheha! Picha zao zitatumika kwenye karatasi za Kura na Uchaguzi utafanyika bila wasiwasi na Vyama vingine vitashiriki. BORA WASHIRIKI KULIKO KUSUSIA.
 
hawa mashabiki wa ccm ni wale wanyonyaji wachache wanaojua wanachokipata ndo maana wanaleta magumashi weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Na Kazi yao ndo hiyo kutwa kufanya propaganda na kuwatisha wasema ukweli wakizidiwa wanatumia yale magenge yao ya kung'oa kucha na meno au kupanga zile ajali tata!
Eee Mungu uwalipe sawasawa na Matendo yao!
 
Back
Top Bottom