October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,143
- 2,023
MO29
Mtoto kautaka eehTutakoleza moto waliouwasha. Na bado
Mtoto kautaka eeh
Unachokiombea na kukisapoti hukijuwi madharra yake pimbi wewe
Mmeshindwa kunyorosha wizi wenu,ni nini mnaweza kushoosha sasa?Wao wanataka kuvuruga amani ya nchi. Tutawanyorosha. Wameua ndugu zetu. Wanataka kutuua walinda amani shubamit. Mwisho wao umefika. Zamu yao. Na bado. Waonjesheni biriani walizoea kuipika. Venye hawajui kipi kwa mbele. Walahi watajua hawajui. Na bado
Yaani hii michawa ikishakuwa na namba za simu za watawala inajiona na yenyewe ni mitawala...kumbe ni toilet pepa tu inagombea mwendokasi sawa na raia wengine!Unachokiombea na kukisapoti hukijuwi madharra yake pimbi wewe
Mmeshindwa kunyorosha wizi wenu,ni nini mnaweza kushoosha sasa?
Kwani wamtandao na washirika ni wa lucheka na?Mkiwasha tunachochea na hatucheki na nyumbu
Kwani wamtandao na washirika ni wa lucheka na?