teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 136
Naomba msaada app ya android yenye kuweza kufanya convesion ya pdf kwenda word, nimejaribu kutafuta play store lkn zote hizo hazikunisaidia, natanguliza shukrani
Naomba msaada app ya android yenye kuweza kufanya convesion ya pdf kwenda word, nimejaribu kutafuta play store lkn zote hizo hazikunisaidia, natanguliza shukrani
Msaada ni kinyume a usemavyo. Mwenzako anataka pdf to word na sio word to pdfKwanini usitumie pc mkuu, so simple.
But nikushaur may be, fanya jaribio kwa kubadili extension. Tuone
Chukua ilo file unalotaka nenda kwenye rename uedit mfn kama ni kamusi.dox sasa wewe weka kamusi.pdf
Afu ulifungue kama litakuwa limebadilika.
Beware kujaribu file isiyo kuwa important kwanza
Msaada ni kinyume a usemavyo. Mwenzako anataka pdf to word na sio word to pdf
Anaitafutaje wakati hakuna name au link zaidi ya picha tu?
Tafuta hiyo
Hiyo wps ninayo lkn hata kulipia kwenyewe sijui, hebu nifafanulie zaidi.Dawnload WPS harafu sign in lipia kwenda premium feutures utacovert mpaka PDF kwenda PPT, PDF to dcx(words).
Ukishindwa search Pdf converter itakuja ni free ila inaconvert 1kb for 2hrs.
Asante sana. Kweli mie inanisaidia sana.Ingia kwenye hii link itakusaidia sana
Www.smallpdf.com