PDF to WORD converter

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
Naomba msaada app ya android yenye kuweza kufanya convesion ya pdf kwenda word, nimejaribu kutafuta play store lkn zote hizo hazikunisaidia, natanguliza shukrani
 
Naomba msaada app ya android yenye kuweza kufanya convesion ya pdf kwenda word, nimejaribu kutafuta play store lkn zote hizo hazikunisaidia, natanguliza shukrani

Kwanini usitumie pc mkuu, so simple.

But nikushaur may be, fanya jaribio kwa kubadili extension. Tuone

Chukua ilo file unalotaka nenda kwenye rename uedit mfn kama ni kamusi.dox sasa wewe weka kamusi.pdf

Afu ulifungue kama litakuwa limebadilika.

Beware kujaribu file isiyo kuwa important kwanza

0900acbd182a3be6f94c7e70606f6b90.jpg

Tafuta hiyo
 
Kwanini usitumie pc mkuu, so simple.

But nikushaur may be, fanya jaribio kwa kubadili extension. Tuone

Chukua ilo file unalotaka nenda kwenye rename uedit mfn kama ni kamusi.dox sasa wewe weka kamusi.pdf

Afu ulifungue kama litakuwa limebadilika.

Beware kujaribu file isiyo kuwa important kwanza

Msaada ni kinyume a usemavyo. Mwenzako anataka pdf to word na sio word to pdf
 
Wakuu kufanya word to pdf sio shida mimi nahitaji pdf to word. Lakini iwe ya android nafanya hivyo kwenye simu sio kwenye computer
 
Dawnload WPS harafu sign in lipia kwenda premium feutures utacovert mpaka PDF kwenda PPT, PDF to dcx(words).

Ukishindwa search Pdf converter itakuja ni free ila inaconvert 1kb for 2hrs.
 
Dawnload WPS harafu sign in lipia kwenda premium feutures utacovert mpaka PDF kwenda PPT, PDF to dcx(words).

Ukishindwa search Pdf converter itakuja ni free ila inaconvert 1kb for 2hrs.
Hiyo wps ninayo lkn hata kulipia kwenyewe sijui, hebu nifafanulie zaidi.
 
Hata kwa simu inakubali tumia officesuite 9 pro+pdf (Paid) google utapata bure ila playstore utalipia ina hiyo feature pdf to word,Excel,Ppt japo kuna bugs ndogondogo so far ni satisfactory kiasi chake
 
Msaada jamani kuna app inapatikana kwenye Android tu kila nikitumie pc kudownload inagoma kabisa. App yenyewe ya kulipia ipo kwenye pdf hakuna kucopi wala pest. Kama kuna utaalamu wa kucopi na kupest mnisaidie
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom