best5 JF-Expert Member Apr 16, 2015 202 70 Nov 16, 2015 #1 Wakuu salam, Mwenye ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya 2015-2020 naomba aiweke hapa katika mfumo wa PDF maana nimetafuta kwenye website yao sijaiona. Asanteni ===== PDF: Ilani ya chama cha mapinduzi 2015-2020 PDF: Ilani ya chama cha demokrasia na maendeleo 2015-2020
Wakuu salam, Mwenye ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya 2015-2020 naomba aiweke hapa katika mfumo wa PDF maana nimetafuta kwenye website yao sijaiona. Asanteni ===== PDF: Ilani ya chama cha mapinduzi 2015-2020 PDF: Ilani ya chama cha demokrasia na maendeleo 2015-2020
Mzee wa Masauti JF-Expert Member Jul 26, 2014 2,199 2,508 Nov 16, 2015 #3 CCM Wanajua ahadi zao ni hewa ndo mana hawajaweka kwenye website
H hans79 JF-Expert Member May 4, 2011 3,800 430 Nov 16, 2015 #4 Ilani yao imesahaulika kwenye kugawa million 50 kwa kila kijiji.
1st AID JF-Expert Member Jul 29, 2014 1,079 522 Nov 16, 2015 #5 best5 said: Wakuu salam mwenye ilani ya chama cha mapinduzi ccm ya 2015-2020 naomba aiweke hapa katika mfumo wa pdf maana nmetafta kwenye website yao sijaiona asanteni Click to expand... kamata hiyo mkuu
best5 said: Wakuu salam mwenye ilani ya chama cha mapinduzi ccm ya 2015-2020 naomba aiweke hapa katika mfumo wa pdf maana nmetafta kwenye website yao sijaiona asanteni Click to expand... kamata hiyo mkuu
1st AID JF-Expert Member Jul 29, 2014 1,079 522 Nov 16, 2015 #6 1st AID said: kamata hiyo mkuu Click to expand... Ongezea ni hiyo ufanye balanced dismantling
Kaa la Moto JF-Expert Member Apr 24, 2008 7,903 1,053 Nov 16, 2015 #7 1st AID said: Ongezea ni hiyo ufanye balanced dismantling Click to expand... Najua hii ndio inakwenda tekelezwa. Teh teh teh
1st AID said: Ongezea ni hiyo ufanye balanced dismantling Click to expand... Najua hii ndio inakwenda tekelezwa. Teh teh teh
mtebetini JF-Expert Member Jul 5, 2015 1,924 2,035 Nov 17, 2015 #8 1st AID said: Ongezea ni hiyo ufanye balanced dismantling Click to expand... Mkuu ahsante thumbup
best5 JF-Expert Member Apr 16, 2015 202 70 Nov 18, 2015 Thread starter #10 shukrani mkuu 1st AID said: kamata hiyo mkuu Click to expand...
best5 JF-Expert Member Apr 16, 2015 202 70 Nov 18, 2015 Thread starter #11 pamoja sana hhhhh 1st AID said: Ongezea ni hiyo ufanye balanced dismantling Click to expand...
best5 JF-Expert Member Apr 16, 2015 202 70 Nov 18, 2015 Thread starter #12 asante mkuu kwa ushaur Mr.Duttu said: Nenda ofisi za chama Click to expand...
K Kinombo JF-Expert Member Feb 24, 2007 331 34 Nov 18, 2015 #13 inakuwaje ilani ya uchaguzi YA CHAMA hiwe ndo dira ya TAIFA? SO vision yetu ni 2020 na si 2025?