Mkuu mleta mada ungepekuwa humu humu kuna thread kama nadhani kumi hivi kuhusu hawa jamaa unaowaulizia pia Mods wanaweza kuziunganisha ili watu wafuatilie kwa ukaribu sana maana kila uchao zinazidi kuongezeka. Nadhani bado maana kwa hapa jf ungeshajua kinachoendelea kule