VANCOUVER JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 336 Reaction score 20 Feb 26, 2014 #1 Kwa wale ambao wameshafanya Oral Interview pale makao makuu PCCB. Sijui wataanza lini kupigia simu wale waliopita iyo oral interview?
Kwa wale ambao wameshafanya Oral Interview pale makao makuu PCCB. Sijui wataanza lini kupigia simu wale waliopita iyo oral interview?
VANCOUVER JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 336 Reaction score 20 Feb 28, 2014 Thread starter #2 Wakuu ina maana wote nyie mliomo humu jamvin hakuna hata 1 anayefanya kazi hapo PCCB?
M mhondo JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 968 Reaction score 359 Feb 28, 2014 #3 Wamemaliza kuwafanyia watu oral interview?
VANCOUVER JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 336 Reaction score 20 Mar 15, 2014 Thread starter #4 mhondo said: Wamemaliza kuwafanyia watu oral interview? Click to expand... wamemaliza jana tarehe 14/3/2014
mhondo said: Wamemaliza kuwafanyia watu oral interview? Click to expand... wamemaliza jana tarehe 14/3/2014
BILAURI Jr Member Joined Oct 21, 2013 Posts 49 Reaction score 8 Mar 17, 2014 #5 Hahahahaha me naisubiria sana hiyo simu yao