Kwamujibu wa sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa PCCA Na. 16/2007 kifungu cha 15 kinahusiana na currupt transaction ambalo ndio kosa lililotendeka hapo juu.
Kosa hili haliitaji kibali cha DPP kwasababu ushahidi wake unakuwa umekamilika papo hapo.
Sheria nyingi za Tanzania zinakuwa na loopholes kiasi kwamba watuhumiwa wengi wamekuwa wakiachiwa huru sio wa rushwa tu!Kwa mfano sheria inasema ukitenda kosa fulani uta tozwa fine ya tshs 100000 au kwenda jela miaka miwili isizidi mitatu au vyote kwa pamoja.Neno au linatoa mwanya kwa hakimu kutoa maamuzi yoyote.
Kesi inapofika mahakamani hakimu anakuwa ndio mwenye discration,hivyo basi iwapo hakimu atakuwa na conflict of intrest yoyote ile mfano kupokea rushwa kutoka kwa defendant lazima hata tenda haki na iwapo atakuwa na chuki binafsi na mtuhumiwa,anaweza akatumia sheria at maximum i.e kifungo na fine.
Thats why TAKUKURU wanahitaji kuwa na mahakama yao.