SHUPAZA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2009 Posts 561 Reaction score 23 May 26, 2010 #281 Haya majungu tu sasa kama kila idara ya serikali wakileta vilio hapa hapata kalika .Manake kuna manung'uniko kila sehemu hata huku kwetu wizarani mambo ni zaidi ya hivi ila tunapiga moyo konde maisha yanaendelea kama ilivyopa ngwa na mtoa riziki
Haya majungu tu sasa kama kila idara ya serikali wakileta vilio hapa hapata kalika .Manake kuna manung'uniko kila sehemu hata huku kwetu wizarani mambo ni zaidi ya hivi ila tunapiga moyo konde maisha yanaendelea kama ilivyopa ngwa na mtoa riziki