Hivi majina ya watu waliosomea electronics and telecommunication engineering amesaulika au ndo yamefungiwa ktk droo ingawa nafasi zao zilitangazwa pia ktk investigation officer, msaada hapo wadau tujuzane.