PCCB appeals for foreign assistance in ESCROW probe

PCCB appeals for foreign assistance in ESCROW probe

I wonder whether computers or any other electronic devices can assist in any way in tackling corruption without there being any resolve and a political will to that end. Don't be fooled! Embrassing and nurturing corruption is the main mission of the corrupt political elite (organised as CCM) in charge of the country. Therefore, the equipment presentation ceremony explained in the article is nothing but empty populist propaganda - and the Chinese are very good at it. Btw, is it in the best interest of the Chinese to see corruption eradicated in Tanzania; and this literally meaning removing CCM from power beforehand?
 
BAK ina maana hata laptop na scanner na printer mpaka tusaidiwe na wachina ina maana hiyo taasisi haikuwa na hivyo vifaa?

Halafu mkulu si kashasema pesa sio za umma sasa wanachunguza nini tena au wanabishana na kiti aise
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Mr Rocky ni mambo ya kushangaza sana hasa tukitilia maanani kwamba tuliwahi kuambiwa kwamba kutokana na umuhimu wa hii taasisi wametengewa bajeti kubwa sana ili waweze kumudu kazi zao za "kupambana na ufisadi na rushwa" bila matatizo yoyote yale. Kumbe hawana hata printers, scanners na si ajabu vifaa vingine muhimu vya kutendea kazi zao.

Pia inashangaza badala ya Kiongozi wa nchi kuongeza uzito na kuharakisha kukamilishwa kwa uchunguzi husika kwa kuwaomba viongozi wa nchi zilizotajwa US, UK, Australia etc ili waisaidie Tanzania kuwatia hatiani hawa wapokea rushwa na wezi anayefanya hivyo ni Hosea! Rais kapiga kimya.

Kingine ambacho kama ulivyosema Watanzania baada ya kudanganywa na Kikwete kwamba pesa za Escrow si za umma tulijua ndio mwisho wa Serikali na taasisi zake kujihusisha na lolote kuhusu pesa zile. Cha kushangaza tunaambiwa kwamba TAKUKURU bado wanaendelea na uchunguzi! Sasa iweje tena pesa ambazo si za Serikali ziendelee kuchunguzwa na taasisi ya umma ambayo inatumia pesa za walipa kodi!?



BAK ina maana hata laptop na scanner na printer mpaka tusaidiwe na wachina ina maana hiyo taasisi haikuwa na hivyo vifaa?

Halafu mkulu si kashasema pesa sio za umma sasa wanachunguza nini tena au wanabishana na kiti aise
 
Last edited by a moderator:
Mkuu BAK usikishangaa ya Mussa naamini unaujua huo msemo na Watanzania tujue tushapigwa changa la macho na usanii wa watawala wetu.
Inashangaza Bank husika iko hapa hapa Tanzania na jijini Dar ambako ofisi za Hosea zipo. Waliochukua pesa sio malaika wasio na jina wala ambao hawakujaza makaratasi ya bank kuchukua pesa. Walijaza makaratasi na walikuwa ama na account pale pale bank au hawakuwa na account ila kuna ushahidi wa karatasi za kuchukua pesa ziliwasilishwa bank. Camera za bank pale zilikuwa zinafanya kazi kuonyesha nani ameingia nani ametoka na nani anajaza form za kuchukua pesa pale.
Taarifa za pesa hizo kuingia ziko kwenye system ya bank na wanaohusika kuja kuzichukua wanafahamika na bank.
Hivi tunahitaji wachina na wa USA na UK kuja kuchunguza nani alipewa pesa na bank hizo siku na nani alijaza form za kudraw pesa kutoka kwenye hiyo account hapo bank.
Hivi inahitaji wachunguzi kutoka huko kote kutujulisha nani alichukua pesa kutoka kwenye hiyo accunt hapo bank. mbona wale wa Mkombozi Bank walijulikana na kutajwa kigugumizi cha nini kuwataja hawa wa Stanbic Bank au kuna nani amejificha kwenye mgongo wa Stanbic bank saga anayeogopwa kutajwa je ni chama tawala au ni wakuu wenye taasisi au kuna nani au ni fedha za kampeni zilichukuliwa au nani yuko nyuma ya huu muamala wa Stanbic
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani imeandikwa "This includes...":
Maana yake ni wamepewa msaada wenye thamani ya 3bn. Katika msaada huo baadhi ya vitu vipo...ambazo ndio hizo computers na printers.

In his speech yesterday, Dr Hoseah said the equipment donated by the People’s Republic of China was for the purposes of improving the performance of the anti-graft agency. They included 162 desktop computers; 13 laptop; 20 network printers; 90 scanners; 162 UPS; four servers; one SAN storage; 10 USB flash and one mobile phone.

in blue:i just can't stop laughing,i thought they were assisted with some kind of drones,orbit satelite,sophisticated cameras and sound recorders...why didn't they come to be and i could have assisted them with that..hivi huyu si ndio yule jambazi aliyepanda jukwaani na nguo ya majizi!!!!
 
Back
Top Bottom