navyo ona ndoto za wadogo zetu zinapotea kwa weng wanao enda A level na hii combUnaichukia kwa kivipi wakati ndo imekufikisha hapo ulipo....!
navyo ona ndoto za wadogo zetu zinapotea kwa weng wanao enda A level na hii comb
kwel ndio ila ni kwa muda tu, angalia saiv vyuo vinavyotoa coz za afya e.g clinical medicine vipo vingap, pia upande wa bachelor na ulinganishe hospital zetu na vituo vya afya vyote hapo ndo utakapo gundua hili ina maana baada ya muda wote tutategemea kujiajiriSwala sio lazima USomee MD unaweza kozi yoyote ta afya na ukawa safi.
Saivi kozi za afya zina soko sana na uhakika Wa ajira upo ndo maana vijana wengi wanakimbila huko .
Madaktari bado wanahitajika sana hasa serikalini, tatizo kubwa ni kuwa serikali haina hela ya kuwalipa hapo ndipo shida inapokuja na wanaishia kuajiri waty wachache tuu, kwa walioko kwenye system nadhani wananielewa kwani kuna madaktari waliomaliza mwaka jana bado wapo mtaani wanaungaunga kwenye vidispensary vya watu.Kwangu mimi naona hii sio comb ya kukimbilia kwa sasa kwani kila mwenye uwezo wa juu ana ndoto za udaktar, sasa angalia vyuo vyetu vya udaktari na ada zake ni hatari, huyu PCB anapata div 2 udaktar anatemwa je ataenda ualimu tu.
Ila angalia PCM wana program nyingi sana ambapo mwenye div2 ni vigumu kukosa eng vyuo kama UDOM, MUST, DIT, na vinginevyo na kwa ada ya kawaida. Hivo mimi nimeichukia sana PCB ingawa ni kombi yangu iliyoniweka MUHAS
kwel ndio ila ni kwa muda tu, angalia saiv vyuo vinavyotoa coz za afya e.g clinical medicine vipo vingap, pia upande wa bachelor na ulinganishe hospital zetu na vituo vya afya vyote hapo ndo utakapo gundua hili ina maana baada ya muda wote tutategemea kujiajiri
hilo ni kweli mkuu siku moja tulikuwa na afsa mwajiri kwenye kikao alisema kitu hicho hicho. serikali kwanza inaangalia hela ya kuwalipa kwanza c tu kwa ajiri, kinacholeta changamoto ni mtaji wakufungua kijiwe chako hv tutabakia kupiga kwenye vidispensary2Madaktari bado wanahitajika sana hasa serikalini, tatizo kubwa ni kuwa serikali haina hela ya kuwalipa hapo ndipo shida inapokuja na wanaishia kuajiri waty wachache tuu, kwa walioko kwenye system nadhani wananielewa kwani kuna madaktari waliomaliza mwaka jana bado wapo mtaani wanaungaunga kwenye vidispensary vya watu.
Hahaaaa atakuwaa mhayaa huyuuwe jamàaa banaa yanii umejiuliza na kujijbu piaa...
Anyway hongera kwa kusoma Muhas mana ndo ulichotaka kutuambia
umaniabisha sana ujengaji wako mbovu wa hoja. MUHAS ndiyo imekuwa ya vilaza hivi? au ugeni wa jf?hilo ni kweli mkuu siku moja tulikuwa na afsa mwajiri kwenye kikao alisema kitu hicho hicho. serikali kwanza inaangalia hela ya kuwalipa kwanza c tu kwa ajiri, kinacholeta changamoto ni mtaji wakufungua kijiwe chako hv tutabakia kupiga kwenye vidispensary2
Hapo kakosea nini mkuu, hebu toa maoni yaki tujifunze, c unajua elimu haina mwishoumaniabisha sana ujengaji wako mbovu wa hoja. MUHAS ndiyo imekuwa ya ****** hivi? au ugeni wa jf?
kama upo fresh phy.che,bios o level na advance ata diplom ya clinical medicne utapata ni udocta pia
wewe toa hoja, wala muhas c chuo cha kujisifia labda ingelikuwa kcmc .umaniabisha sana ujengaji wako mbovu wa hoja. MUHAS ndiyo imekuwa ya ****** hivi? au ugeni wa jf?
kusema hospitali chache kiasi kwamba kazi zitakosekana na tutategemea kujiajiri ni kukosa uelewa wa hali halisi, japo kazungumzia lengo la kuwa daktari lakini kiukweli PCB ina choices nyingi chuo kikuu kuliko comb zote, hadi uhandisi unasoma. kusema ukitemwa udaktari utaenda ualimu tu ni uongo au ujinga. Mwisho ni kuwa kozi za afya hazihitaji tu waliofaulu bali waliofaulu vizuri.Hapo kakosea nini mkuu, hebu toa maoni yaki tujifunze, c unajua elimu haina mwisho