PC

Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
694
1,000
Bajeti yako kiasi gani??
Na pc ni kwa matumizi gani??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

ESANDU

Member
Jun 1, 2018
66
125
Msaada namna ya ku-actiate Window 10. Nimetumia Microsoft Toolkit lakini sijafanikiwa.

Sent from The Black Forest
 

ESANDU

Member
Jun 1, 2018
66
125
Hujafanikiwa kwa sababu window defender ipo on, hivyo kama unataka kufanya hilo zoezi zima kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa msaada. Ila nilikuja kugundua kuwa ToolKit ilikuwa haifanyi kazi kwangu sababu ya Antivirus kweli. Nimegunduaa too late kitu kilichopelekea kupiga chini window. Now maisha yanasonga

Sent from The Black Forest
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom