Pc

a day

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
260
Reaction score
591
Wanajamvi kwa walio dar naitaji kuongeza space kwnye pc yangu msaada
 
Nataka niweke window 7
 
Size yake ina kama gb 35 hivi
Ni ndogo sana. Sure unahitaji kuongeza. Kama huna matumizi makubwa nunua 320gb ila kama una matumizi ya wastani pata 500gb ila kama una matumizi makubwa zaidi tumia 1TB.

Ila kuhusu windows 7 unaweza kuweka kwenye disk hiyo hiyo. Japo ungetaja sifa nyingine za laptop yako kama vile processor na ram ingekua poa zaid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We upo dar
 
Maana mm sio mjuzi sana wa laptop mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…