pc yangu jamani.

pc yangu jamani.

Sine r Winters

Senior Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
110
Reaction score
15
jana nimeifungua pc(laptop aina ya lenovo) nakuremove cooling system kwenye processor na kuifuta vumbi,baada ya kuirudisha ikawa nikiiwasha inawaka baada ya muda inajizima yenyewe til nw cjapata ufumbuzi. Asanteni.
 
sasa wewe unafunga cooling systeam bila ya kuweka dawaheat (sink grease) haitaweza kupoza processor fungua hot sink weka dawa tatizo litakuwa limekwisha

kama uko dar nenda kariakoo wanauza buku tu

heat sink grease.jpg
 
sasa wewe unafunga cooling systeam bila ya kuweka dawaheat (sink grease) haitaweza kupoza processor fungua hot sink weka dawa tatizo litakuwa limekwisha

kama uko dar nenda kariakoo wanauza buku tu

View attachment 87938

asante mkuu mi nipo ddm. Na iyo dawa ndo ile layer flani km dw ya mswaki iliyotenganisha processor na cooling system.
 
Jaman kwani ucpoweka ile thermal compound ndo inakuwa inazingua

wala haizingui ya kwangu nimefuta vumbi na ile dawa yota imetoka pale katika procossor na inakimbiza balaa ina 2gb ram and windows 7 wee angalia tu hiyo processor imekaa vizuri
 
we endelea kutumia hivyo hivyo bila ya kuweka dawa halafu baada ya muda utapata habari yake kama processor ili takiwa iishi kwa miaka mitano unaipunguzia muda itaishi kwa miaka miwili baada ya muda itaanza kupoteza nguvu na feni pia utaichosha mana itakuwa kila mara itakuwa ina auto start kwa hight speed ili kuipoza processor kwasababu processor itakuwa haipati baridi ya kutosha utaichosha processor huyo mwenyewe aliyetengeza processor na akaweka na dawa kama unamuona ni mjinga sawa we endelea kutumia halafu utakuja hapa hapa jamvini kuanza kuuliza wana jf computer yangu ina tatizo la ku stack stack au kukata moto au mara computer iko slow sana nimebadili windows lakini tatizo liko pale pale nifanyeje wa jf kumbe mchawi ni wewe mwenyewe mwaka mmoja uliopita uliifungua processor yako ukasafisha ukakuta imewekwa na dawa we uka futa futa ukairudishia tu mana unajua ile dawa mzungu aliweka mapambo tu, ile dawa ndio inapisha joto kwa haraka kutoka kwenye processor kwenda kwenye cooling system ili processor ipoe kwa haraka

wacha nisiseme mengi mi nilikuwa napita
 
Juzi nilifungua pc yangu pia sababu feni ilikuwa inapiga kelele na pc inashika moto mpaka kuzima yenyewe pia ilikuwa na vumbi hivyo nikaiweka sawa na kutoa vumbi ila baada ya kuifunga kila kitu kila nikibonyeza powerbutton laptop inawaka bila screen alafu inazima hapohapo ndani ya sekunde na feni inazunguka na kuzima pia.

Nimejaribu ile option ya kuizima na kutoa battery kisha unashukilia power button kwa dk 1 lakini hali iko vilevile.
Nimejaribu kutoa cmos battery na kuirudisha baada ya saa 1 moja labda ingereset bios settings lakini bado inafanya vilevile.
Ila baada ya kuona hivyo ikabidi niangalie ile fluid kwenye proccesor na graphics card nikaona yote imekauka kabisa sababu hapo kabla ilikuwa inashika moto mpaka inazima yenyewe.
Je hilo linaweza kuwa tatizo?

Hapo wakati nasafisha feni nilikuwa natumia chaji kuiwasha then narekebisha feni mpaka ilipokaa sawa na ilikuwa inawaka vizuri na nilikuwa makini kutosababisha ESD.

Kuhusu ram na hdd nahisi ni vizima sababu vyote niliviondoa mpaka battery kabla sijafungua.
Pia mwanzo ilikuwa ukiondoa ram zile led lights za keyboard na power button vinawaka kasoro screen pekee ila sasa hivi hata ukiweka ram au usipoweka zile led lights zinawaka na kuzima hapohapo.
Ukiweka chaji inaonesha kama chaji inaingia bila tatizo.

Laptop haitoi beep yoyote ile.
Ila kama motherboard imeungua si ni kwamba pc inakuwa haiwaki kabisa hakuna led lights wala sign za chaji yaani imekufa kabisa au inakuwaje mkuu?

Kama motheeboard ndio tatizo je kuliplace na kununua mpya au used inaweza kuwa bei gani?

Hapo nini tatizo mkuu?

Laptop ni hp Elitebook 840 g2.

Chief-Mkwawa msaada wako mkuu.
 
Anza na hio thermal paste mkuu, sh 3000 tu kkoo, kukiwa na Joto kubwa automatic machine inazima.

Hapo inabidi u trouble shoot mdogo mdogo kuanzia adapter kama inaleta umeme, umeme unafika wapi, unaishia wapi etc.
 
Back
Top Bottom