Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,748
- 28,141
Mmh acha nijaribu mkuu but unadhani tatizo ni nini??Jaribu kutoa betri then bonyeza power button kwa sekunde kadhaa ukiwa umechomoa waya wa power,,,then weka waya wa pawa washa bila kuwela betri
Bado haiwaki? MrejeshoMmh acha nijaribu mkuu but unadhani tatizo ni nini??
Maana nlikuwa naitumia vizuri tu
Bado mkuu fundi anasema imeungua et.Bado haiwaki? Mrejesho
Namna ya kupima na kureplace mkuu kunakaaje?inatengenezeka hiyo haina haja ya motherboard nyingine
ni swala la muda na kupima eneo husika kwa umakini na kureplace kilichoungua
kompyuta haiwez kufa yote ina protective circuits kila kona
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina gani ya computer?Bado mkuu fundi anasema imeungua et.
Pale waya wa power uligusa port ya vga kukatokea shot..
Motherboard ni bei gani Kwan
Dell latitude core i2
Kwahiyo mkuu uhakika wa kupona si upo?? ama bado? unadhani tatizo ni kubwa hapo? Nimeambiwa ni 40000 kutengenezainatengenezeka hiyo haina haja ya motherboard nyingine
ni swala la muda na kupima eneo husika kwa umakini na kureplace kilichoungua
kompyuta haiwez kufa yote ina protective circuits kila kona
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeungua AC au kitu gani alichosema kimeunguaBado mkuu fundi anasema imeungua et.
Pale waya wa power uligusa port ya vga kukatokea shot..
Motherboard ni bei gani Kwan
anasema port ya ACImeungua AC au kitu gani alichosema kimeungua
cocastic nakupend
Mpe tu mkuu hiyo 40.anasema port ya AC
nimetoa bro nasubiri kazi ifanyweMpe tu mkuu hiyo 40.
tatizo niko DodomaMtafute fundi mmoja anaitwa Pascal kariakoo uhuru roundabout tatizo litatatuliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
nakupenda kuliko PC yang