Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 691
Naomba msaada,nimefanya Instalation ya DELL OPTIPLEX 360 kwa kutumia OS ya Window XP service pack 3.Lakini katika issue ya audio inasema kuwa No audio device
Nimejaribu kupitia Manage lakini naona divice ya audio ina alama ya njano,nimejaribu ku-update nimeshindwa ! naomba msaada
nitashukuru sana
Nimejaribu kupitia Manage lakini naona divice ya audio ina alama ya njano,nimejaribu ku-update nimeshindwa ! naomba msaada
nitashukuru sana