Emmilian paul
Senior Member
- Oct 17, 2015
- 141
- 63
Ninayo ps 3 controller wireless,nimejaribu kuitumia kwenye computer kwa kutumua usb wire inafanya kazi na ninacheza game zote vyema..
Kwa sasa naitaji kuitumia kama wireless yaan bila kuchomeka usb...je naitumia vp...msaada wakuu
Kwa sasa naitaji kuitumia kama wireless yaan bila kuchomeka usb...je naitumia vp...msaada wakuu