Kabla ujanunua PC unatakiwa kuangalia nn??? Ili kujua hii ndio Nzuri na inaweza xheza hata game kama euro track bila kustak na ma game mengine
HDD
Ram
Na vinginevyo!!!!
Ram na HDD ni muhimu lakini vinaongezeka, unaweza ukavitoa ukaeka vikubwa zaidi hivyo usiangalie sana hivi vitu kwenye ununuzi.
kwa games na software nyengine kubwa angalia sana cpu na gpu.
kwenye laptop kuna gpu za aina mbili
-gpu ya ndani inayokuja na processor (internal gpu)
-gpu ambayo ipo inakuja separate na processor (dedicated gpu)
laptop nzuri ni hizo zenye dedicated gpu lakini bei zake pia zimesimama nyingi zinazidi milioni
kutokana na kipato cha mtanzania tunajaribu kutafuta laptop yenye internal gpu nzuri zaidi, hapo ndio unapotakiwa uangalie, processor nzuri yenye gpu nzuri.
hapa ndio zinakuja generation, nitazipanga kwa uzuri kuanzia juu kwenda chini.
-generation ya 8
-generation ya 7
-generation ya 6
-generation ya 4
-generation ya 5
-generarion ya 3
-generation ya 2
generation ya kwanza achana nayo, na ya nne ni nzuri kuliko ya 5 sababu hapo kulikuwa na transition kuanzia ya 5 mainstream zilitumia 15w badala ya 35w, hivyo cpu zinazotumia umeme mkubwa za 4th zina nguvu kuliko za umeme mdogo za 5th.
kuzijua hizo generation huanzia tu na maelfu ya namba ya generation
mfano cpu ya 8th itaanziwa na 8xxx ya 4 itaanziwa na 4xxx etc