Kunakipindi nilikuwa na shusha movie na series Usiku na kifurushi cha night pack KWA kutumia torrent, sasa ikawa asubuhi nikiunga gb 1 bando inaliwa ndani ya dakika 5, nilitafuta Ninini kinachokula bando, nikabadilisha password za Wi-Fi lakini haikusaidia nilitafuta app za kuthibiti matumizi haikusaidia, nikapiga simu huduma KWA wateja pia haikusaidia, baada ya Kama wiki mbili ya kula kichapo cha gb zaidi ya 50 ndipo nilipo kuja kugundua kwamba kumbe ukidownload movie kwa torrent huwa vinajiapload tena ( wenyewe wanaita seeds)