Inayokula ni window 10 sio pc hp. Wajanja wakuelekeze kuzima updatesWakuu PC yangu ni aina ya HP Pro elite Book
Inatumia window 10...
Sawa mkuuFanya kuidisable automatic window updating,
Hiyo ndio inasababishaga MB's kwenda mbio mkuu!!
Hii inakuaje mkuu, tema madini nifahamuInayokula ni window 10 sio pc hp. Wajanja wakuelekeze kuzima updates
Mchakato upoje mkuu?turn off updates
Ongeza nyama hapa mkuuInstall TinnyWall utanishukuru Daima.
TinnyWall ni softaware inayokuwezesha kudhibiti matumizi yako ya Internet. Ina option nyingi ni uchaguzi wako tuu kulingana na matumizi utakayo.Ongeza nyama hapa mkuu
Mmh wiki2 bila kuzima....hiyo pc kuna siku utakuta imetoroka hapo kwako..yaani mpaka inajuta kumilikiwa na weweIache tu iupdate ikishakula kama 3gb itaacha itakuwa ina update mara moja moja, mimi sizuii pc kuupdate na wala sijui uwa inaupdate saa ngap nakuja kujua ninapoizima ikaanza install updates maana naweza maliza hata weekmbili sijazima pc.
Hapana mkuu ila siku hizi inapata mapumziko ya kuherbanate walau masaa 5 maka 8 usku maana nafanya kuifunga bila kuizima ili nikiifungua tu ijiconnect na wifi niendelee nilipoishiaMmh wiki2 bila kuzima....hiyo pc kuna siku utakuta imetoroka hapo kwako..yaani mpaka inajuta kumilikiwa na wewe