mkuu kama umeformat na still ipo slow pengine ni mbovu.Nahisi ilikua na virus. Sasa nafanyaje na siwez kutumia tena kwani nishafomat partion iliyokuwemo windows niliyokua ninaitumia
Mkuumkuu kama umeformat na still ipo slow pengine ni mbovu.
jaribu kutumia mini tootl partition wizard bootable edition, igoogle install kwenye flash na rufus halafu badala ya kuboot na windows boot na hio flash halafu tumia hio kuformat na kueka mambo mengine sawa uone kama itasaidia. kama ni virusi ikiformat watatoka
why u format halafu ufanye recovery? backup data zako kama unazihitajiMkuu
Nikiformat kwa hii njia kuna uwezekano wa kurecover data zangu
Au uwezekano ni mdogo
asilimia kubwa ni mbovu hapo jaribu kufanyashukran mkuu
nimefuta kila kitu bado iko slow.
basi itakua hdd ni mbovu
kama hdd ni mbovu kuna njia ya yoyote kuitengeneza
Msaada kulingana na kichwa cha habari hapo Juu. Nimejaribu takribani cd tofauti tofauti za win10 na win7 lakin imeshindikana. Nikajaribu kutumia bootable usb ikashindikana pia. Speed ya kuinstall window bado ndogo, yaani kwa anzia saa 3 usiku mpaka saa 2 asubuh nakuta percentage 8. Msaada tafadhari
Punguza tamaa kwanzaKaka uko dar ntakuekea windows 8 au 10 kwa 20000