thomaskitomari
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 472
- 204
itakuwa imepigwa short mkuuHabari za wakati huu wadau, naomba msaada kwa wataalamu wa computer. computer yangu imezima ghafla nimejaribu kutoa betri na kuirudisha tena lkn wap, nimejaribu kubadilisha adapter pamoja na betri kutoka kwenye pc nyingne ya aina hyo hyo ambazo ziko vizur lakin bado haijawaka, na haikuwa na tatizo kama hilo (NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU UE IMEKARIBIAA)
Duuuh sasa mwamba hapo solution nafanyaje? au ni nini kitakuwa kimeungua ili kama kinawezekana kubadilishwa nifanye mchakato?itakuwa imepigwa short mkuu
Vyote hvyo havitokei mkuu wa kikosi,, duuh sasa hapa nafanyaje?ukichomeka chaji inawasha taa ya kuonyesha moto unaingia?
ukiiwasha inaleta mlio wowote ?
feni inazunguka ?
Kama vyote havitokei basi itakuwa imeunguza njia hio
Vyote hvyo havitokei mkuu wa kikosi,, duuh sasa hapa nafanyaje?ukichomeka chaji inawasha taa ya kuonyesha moto unaingia?
ukiiwasha inaleta mlio wowote ?
feni inazunguka ?
Kama vyote havitokei basi itakuwa imeunguza njia hio
had disk mkuu itakuwa imezingua nakama imezngua hapo hakuna namna ni kununua hard disk nyingineDuuuh sasa mwamba hapo solution nafanyaje? au ni nini kitakuwa kimeungua ili kama kinawezekana kubadilishwa nifanye mchakato?
Duuuh poa poa mwambahad disk mkuu itakuwa imezingua nakama imezngua hapo hakuna namna ni kununua hard disk nyingine
HDD haiwezi kuzuia PC isiboot!had disk mkuu itakuwa imezingua nakama imezngua hapo hakuna namna ni kununua hard disk nyingine
trueHDD haiwezi kuzuia PC isiboot!
Hapo shida ipo ktk Mobo
Mkuu yangu inawaka vizuri tu ila baada muda screen inakuwa blank au muda mwengine inaji restart yenyewe.ukichomeka chaji inawasha taa ya kuonyesha moto unaingia?
ukiiwasha inaleta mlio wowote ?
feni inazunguka ?
Kama vyote havitokei basi itakuwa imeunguza njia hio
hio inaitwa blue screen hilo tatizo mara nyingi linaletwa na windows Kucurupty hapo chakufanya badili windows maana hio windows yako inaonejana niyakitambo sanaMkuu yangu inawaka vizuri tu ila baada muda screen inakuwa blank au muda mwengine inaji restart yenyewe.
itakuwa ilikuwa window7hio inaitwa blue screen hilo tatizo mara nyingi linaletwa na windows Kucurupty hapo chakufanya badili windows maana hio windows yako inaonejana niyakitambo sana
Asante ni kweli Windows ya muda.hio inaitwa blue screen hilo tatizo mara nyingi linaletwa na windows Kucurupty hapo chakufanya badili windows maana hio windows yako inaonejana niyakitambo sana
Ni Window 7 kweli.itakuwa ilikuwa window7
tafuta window load uipige windo yako itakuwa imara tenaAsante ni kweli Windows ya muda.
Asante sana.tafuta window load uipige windo yako itakuwa imara tena
pamoja sana mkuuAsante sana.