Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,262
- 44,389
nvidia gt520 1gb
baadhi ya engine hazikubali kubadili resolution kwenye game ila zinakuwa na config file ambalo unafungua na notepad na kuedit hizo details.nvidia gt520 1gb
asee chief nashukulu nimefanikiwabaadhi ya engine hazikubali kubadili resolution kwenye game ila zinakuwa na config file ambalo unafungua na notepad na kuedit hizo details.
nimegoogle hapa assasin creed 3 engine yake inaitwa anvil kuchange resolution fuata step za hii link
Can I Change the Resolution from Outside the Game?
kila engine ina namna yake, mimi nacheza games za 2016 kwa zaidi ya 30fps gpu yangu ni hd 4600 tu, sijawahi kutana. na game lisilocheza.
chief-mkwawa u lookin smart brother i appreciate dat,nimekuwa nkikufatilia xana mada zako,asee uko vizur xana mkuu,nimeona unasema laptop yenye gpu ya intel hd graphics 4600m inauwezo wa kurun games nying kali(latest) at low settings,bt ili upate higher frame rates unatakiw uwe na powerfull gpu. Nataka ninunue gaming laptop,vepe hiii Lenovo y50 core i5 yenye gtx 860,nimetokea kuipenda,bt tatizo naona n bei,vepe kwa hapa bongo mtumba shingapi?? around 1m-900k napata laptop gan(gaming laptop hata kam n used) plz nsaidie kwa hili mkuuu, [emoji18] [emoji5] [emoji5]baadhi ya engine hazikubali kubadili resolution kwenye game ila zinakuwa na config file ambalo unafungua na notepad na kuedit hizo details.
nimegoogle hapa assasin creed 3 engine yake inaitwa anvil kuchange resolution fuata step za hii link
Can I Change the Resolution from Outside the Game?
kila engine ina namna yake, mimi nacheza games za 2016 kwa zaidi ya 30fps gpu yangu ni hd 4600 tu, sijawahi kutana. na game lisilocheza.
nimecheki cpu ya hio lenovo ni i5 4200H sio mbaya ni cpu yenye nguvu pamoja na 860m nvidia utacheza games nyingi kwa quality ya kati kwa 720p au hata 1080p.chief-mkwawa u lookin smart brother i appreciate dat,nimekuwa nkikufatilia xana mada zako,asee uko vizur xana mkuu,nimeona unasema laptop yenye gpu ya intel hd graphics 4600m inauwezo wa kurun games nying kali(latest) at low settings,bt ili upate higher frame rates unatakiw uwe na powerfull gpu. Nataka ninunue gaming laptop,vepe hiii Lenovo y50 core i5 yenye gtx 860,nimetokea kuipenda,bt tatizo naona n bei,vepe kwa hapa bongo mtumba shingapi?? around 1m-900k napata laptop gan(gaming laptop hata kam n used) plz nsaidie kwa hili mkuuu, [emoji18] [emoji5] [emoji5]
ok,vepe hio laptop naweza kuipata kwa shingap(used)nimecheki cpu ya hio lenovo ni i5 4200H sio mbaya ni cpu yenye nguvu pamoja na 860m nvidia utacheza games nyingi kwa quality ya kati kwa 720p au hata 1080p.
kuhusu gaming laptop Tanzania ni kazi kuzipata hadi utulie, ila vyovyote vile hakikisha herufi ya kati ya gpu yako ni 5 kupanda hizo ndio vram zake ni ddr5 na zina nguvu.
kwa budget yako unaipata mkuu used sema kwa Tz sina pa kukuelekeza ukaipata, ni hadi usubirie mtu kaieka kupatana au site nyengine wanazouza vitu used.ok,vepe hio laptop naweza kuipata kwa shingap(used)
gpu ipo vizuri but monitor yako ni inch ngapi?nvidia gt520 1gb
nchi 32 led TV 1080p.gpu ipo vizuri but monitor yako ni inch ngapi?
oknchi 32 led TV 1080p.
hata ivo nilishafanikiwa kuset full screen, kumbe hadi uedit Maelezo flani kwenye notepad.
pamoja na hizo zangu ni:
18 wheels of steel
Euro truck Simulator 2
Flightgear
Need for speed (karibu zote zinakubali pad)
Train Simulator
Air conflict Pacific carrier
Dogfight
Colin McRae Rally 4
celeron ipi mkuu, jina kamili ingekuwa vizuriWakuu naomba kufaham naweza cheza need for speed most wanted kwenye laptop yenye processor 1.6 celeron?
toa full specs za pc yakoWakuu naomba kufaham naweza cheza need for speed most wanted kwenye laptop yenye processor 1.6 celeron?
Am in need of Call of duty black Op please ni Pm nijue nitaipataje?Nina
-Fifa 13, Pes 2013, Sniper Elite v2 na Call Of Duty 5.
Kwa yoyote anaehitaji Game kati ya hizo anitafute.
Black ops now sina ila nna modern warfare 3 na 4.Am in need of Call of duty black Op please ni Pm nijue nitaipataje?
Hii ni kali zaidi ya Call of duty?Black ops now sina ila nna modern warfare 3 na 4.
Hii nayo ni Call of Duty, inaitwa Call Of Duty Modern Warfare 3, yaani kama vile inavyoitwa Call Of Duty Black Ops 1,2 na 3.Hii ni kali zaidi ya Call of duty?
mm cm yangu Ni Windows 8,Ss mkuu naomba unifahamishe Ni jinsi gani ya kuupata mkoni WA ppsspp ktk cm yangukwa windows 8 sku hz kuna xbox games zinakubali pad za xbox(japo sjatumia) game kali nilizozicheza na kuziona
-skull of shougan
-hallo spartan
-harvest
-na nyengine ndogo ndogo kama za android