PC failed to turn on

marregal

Member
May 8, 2011
77
15
hellow fellaz,,, nina pc hapa ambayo nikiweka kwenye charge inareceive power na taa yake inawaka,, nikiwasha inawaka taa ya on tuu na fans vibrations zinasikika,, sasa tatizo ni kwamba ile screen haioneshi kitu kabisaa yaani nyeusi kama pc iliyozimwa na hakuna hata beep kuonesha kunaoperation inayotaka kutake place,, tusaidiane ,, tatizo laweza kuwa nini, and what should be done......
assistance hapo..
 
Marregal,
Kwanza nimeipenda avatar yako, King Julien sio, haya.

Pili, to your PC.
Umesema inawaka taa ya charge, ok. na ukiwasha fans zinafanya kazi - Je, inafika mpaka mwisho aidha kwenye logon au inawaka kabisa? Kwa kusikiliza tu. au kama huwa ina logon screen, jaribu ku-time kama unweza ku-log-on kwa giza lake hivyo hivyo.

Otherwise, shida ya weza kuwa display imekufa. cables zinzopeleka signal kwenye output, (which is the screen)
Let us know symptoms za ziada kama zipo.
 
Kama ni kucheck display anaweza tafuta VGA cable au kama ana HDMI port then anaconnect kwenye external display yani LCD au CRT Monitors
 
Kama ni kucheck display anaweza tafuta VGA cable au kama ana HDMI port then anaconnect kwenye external display yani LCD au CRT Monitors
Yap yap,
Niliassume kama ndo hana hiyo CRT eti, ngoja atupe feedback tuone.
 
Niliwahi kupata tatizo kama hilo.
Kumbe nilikuwa na microsoft ya kuchakachua na walipogundua waliiblock.
 
shukran kwa kusogeza maoni yenu jamvini.. well nimejaribu kuvuta mda nikisubiri logon screen hakuna kitu nikajaribu kufungua cover ya ram at the back nkakuta kuna waya mbili na moja ilikuwa imechomoka,, nika connect na kuwasha tena hakuna kitu,, je inawezekana kuwa hizo wire ni za kupeleka signals kwenye display auuu????
 
hiyo cable itanipa aina gani ya respond ilinijue kuwa tatizo ni display yangu mbovu?
 
kama motherboard imeungua si isingenipa feedback ya power ON au fans kutofanya kazi....embu nifafanulie signs za motherboard kuungua iliniweze kuconclude. maana probably discs za RAM zimejichakachua nireplace na RAM ingine....... my perceptions lakini
 
hiyo cable itanipa aina gani ya respond ilinijue kuwa tatizo ni display yangu mbovu?

Ukichomeka cable to an external display what you get ni computer yako kuonesha to that ext display.

Hiyo cable iliyokuwa kwenye ram huku, chances ni kwamba inaweza either cable ya wifi or the ram itself. But normally kama kuna shida kwenye ram pc huwa inaBEEP mara kadhaa pale unapoiwasha.

Ni model gani? Ina OS gani? Kuna hardware ume-upgrade recently?

Kama ngoma bado bila bila tustue. Sina vifaa vingi, but for the meantime niko Atown. Tunaweza brainstorm kwa pamoja.
 
hellow fellaz,,, nina pc hapa ambayo nikiweka kwenye charge inareceive power na taa yake inawaka,, nikiwasha inawaka taa ya on tuu na fans vibrations zinasikika,, sasa tatizo ni kwamba ile screen haioneshi kitu kabisaa yaani nyeusi kama pc iliyozimwa na hakuna hata beep kuonesha kunaoperation inayotaka kutake place,, tusaidiane ,, tatizo laweza kuwa nini, and what should be done......
assistance hapo..

THE PROBLEM & SOLUTION:

Due to temperature rise it causes the Intergrated Circuit (IC) za display kuexpand na kuachia kwenye Motherboard that cause blackblank display as you can hear machine seems to be turned On but kitu cha display kimya.

Solution: Hapo kunaweza kuwa na two possible damages,
1. May be hizo IC za display zimeachia tu baada ya kuexpand ambapo fundi wa hardware atafanya kubana fresh kwa SoldierStick
2. Also possibly hizo IC zimeungua due to temp rise depending to their Optimum recommended temp, pia hapo technician he had to change hizo ICs. Its not such a costfull task.

>>>>As a computer dokta I've dealt with this kind of sh!t manytimes with solution.
 
ni acer aspire 5000,, na inatumia windows 7 premium,, na sija upgrade chochote,, let me try to counter check the suggestions provided then i will halla back.
 
nahisi hizo options zinaweza kuwa ndo ugonjwa wenyewe ngoja nii survey zaidi alaf ntatoa yaliyojiri,, nikistuck pia ntarudi nyumbani,,much thanx fellaz
 
Same prblm na mimi, ila yakwangu haizungushi feni ya processor inawaka taa ya motherbord tu, nifanye nini?
Msaada wakuu,,,
 
Jaribu hivi.
1. Ondoa power supply
2. Ondoa Battery
3. Press power button kwa muda wa sekunde 30hv
4. Chomeka moto bila kuweka battery kisha jaribu coldboot bila battery.
5. Ikikubali zima rudisha battery uendelee kula maisha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom