PC Emulator: Apps zinazosupport sharing of files kati ya pc na simu (android)

mimi43

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
410
Reaction score
423
wakuu vp.

nimepata changamoto kushindwa kupata apps ya kushare files kati ya pc na simu na nina hitaji sana.

nimejaribu blue stuck ila inazingua sana kwenye pc yangu na ipo slow.

nimejaribu kugoogle apps tofauti za kushare file kati ya pc na simu ila imekuwa changamoto.

naombeni mwenye kujua app yoyote ambayo niki-install kwa pc nitaweza kudownload app za android kama xender ili niweze kushare files na simu yangu kwa xender iliyopo kwenye simu yangu.

natanguliza shukrani.
 
Tumia Nox Then Ku Transfer Data Uanweza Tumia USB Au Sender Cha Msingi Uiruhusu Nox Iwe Rooted Kwenye Settings Zake.
 
hapo kuwa rooted unamaanisha na simu yangu ni i root ?
 
dukto
PC na Simu ziwe kwenye same network, unaweza washa hotspot kwenye simu sio lazima kuwe na internet, utaweza hamisha files zako kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom