sina uzoefu na Skrill, ila naamini wadau watakuja hapa kuongeza ideas.
One major problem is that, you can neither receive nor withdraw money from a PayPal account created in TanzaniaNajaribu kustructure project ya kuwezesha kutoa pesa za PayPal hapa TZ, kwa kuwa kwa sasa haiwezekani ila tunaweza take advantage ya kutumia product hizi 3 kufanikisha
1. M-Pesa open API
2. DirectPay API
3. PayPal API
ambapo itakuwa hivi
1. kwa kuwa M-Pesa API inaruhusu huduma C2B, B2B, B2C nk, itawezesha mteja kupokea malipo yake moja kwa moja
2. Kwa kuwa Direct Pay API inapokea malipo kutoka PayPal na unaweza track all transaction via API, hii itawezesha automatic confirmation ya mteja aliye withdraw pesa zake kwenye PayPal kwa kulipa kwenye Direct Pay account ambayo inatumika kufanya collection ya PayPal money. Pia, via listener URL utaweza kujua kama payment zimefanyika then API ita_fire M-Pesa API na ita call B2C API ambayo ita release pesa kwa account ya M-Pesa ya mteja.
the following is just a simple structure ya itavyokuwa kama una idea ya kuchangia ili tufanye kitu iweke hapa
NB: nimeshafanya integration kadhaa za Paypal, Direct Pay, lakini pia nimeplay na M-Pesa API sandbox so nina 70% za uhakika kuwa it is possible.
View attachment 1625450
Mimi nikiingiwa na maji sikioni huwa naongezamo mengine ili yaweze kutoka. Nimekuwa nikifanya hivyo mara nyingi.Flash(SanDisk) yangu imeingia maji nifanye nini iweze kufanya kazi tena maana haisomi kwny device yangu.
Hadi Upwork ina option ya freelancer kupokea pesa kwa safaricom Mpesa. Yani nchi hii ni basi tu.Ngoja tuendelee kukomaa na btc tu na safaricom..
Bongo ushamba bado mwingi sana.
Juzi nilikuwa naangalia webmoney, ina option ya kupeleka pesa safaricom, sisi bado tumekalia ujima na kuzimiana internet
ndio maana nime weka pia API ya Direct Pay, ambayo inapokea malipo kutoka PayPal na unaweza withdraw kwa ATM, for the purpose ya ku_bypass hao BoT, so kwa kupitia API za Direct Pay ndio nitapata access ya kutuma pesa direct to M-Pesa number kwa kila transaction badala ya kutoa kwenye ATMIyo yote ni useless kama BoT wamegoma kuwezesha kitufe cha 'Receive' kwenye PayPal dashboard
Mkuu hiyo pesa unayotuma from payapal to mpesa via direct pay inatoka wapi wakati technically kitendo cha kuwa na paypal account ya tanzania basi haipokei pesa. Unless kama unasema tuendelee kucheat kwa kudanganya tuko nchi nyingine ila sasa wewe ndo ututengenezee system ya kuitoa kwa mpesa tanzania.ndio maana nime weka pia API ya Direct Pay, ambayo inapokea malipo kutoka PayPal na unaweza withdraw kwa ATM, for the purpose ya ku_bypass hao BoT, so kwa kupitia API za Direct Pay ndio nitapata access ya kutuma pesa direct to M-Pesa number kwa kila transaction badala ya kutoa kwenye ATM
mkuu, unaishi Marekani nini, hujui kwamba PayPal huwezi 'pokea' by default ukiwa Tz ?ndio maana nime weka pia API ya Direct Pay, ambayo inapokea malipo kutoka PayPal na unaweza withdraw kwa ATM, for the purpose ya ku_bypass hao BoT, so kwa kupitia API za Direct Pay ndio nitapata access ya kutuma pesa direct to M-Pesa number kwa kila transaction badala ya kutoa kwenye ATM
Ni wazo zuri lakini sidhani kama ni rahisi hivyo hadi BOT warekebishe sheria zao za kupokea pesa kutoka nje.Najaribu kustructure project ya kuwezesha kutoa pesa za PayPal hapa TZ, kwa kuwa kwa sasa haiwezekani ila tunaweza take advantage ya kutumia product hizi 3 kufanikisha
1. M-Pesa open API
2. DirectPay API
3. PayPal API
ambapo itakuwa hivi
1. kwa kuwa M-Pesa API inaruhusu huduma C2B, B2B, B2C nk, itawezesha mteja kupokea malipo yake moja kwa moja
2. Kwa kuwa Direct Pay API inapokea malipo kutoka PayPal na unaweza track all transaction via API, hii itawezesha automatic confirmation ya mteja aliye withdraw pesa zake kwenye PayPal kwa kulipa kwenye Direct Pay account ambayo inatumika kufanya collection ya PayPal money. Pia, via listener URL utaweza kujua kama payment zimefanyika then API ita_fire M-Pesa API na ita call B2C API ambayo ita release pesa kwa account ya M-Pesa ya mteja.
the following is just a simple structure ya itavyokuwa kama una idea ya kuchangia ili tufanye kitu iweke hapa
NB: nimeshafanya integration kadhaa za Paypal, Direct Pay, lakini pia nimeplay na M-Pesa API sandbox so nina 70% za uhakika kuwa it is possible.
View attachment 1625450
Mkuu hiyo pesa unayotuma from payapal to mpesa via direct pay inatoka wapi wakati technically kitendo cha kuwa na paypal account ya tanzania basi haipokei pesa. Unless kama unasema tuendelee kucheat kwa kudanganya tuko nchi nyingine ila sasa wewe ndo ututengenezee system ya kuitoa kwa mpesa tanzania.
ndio maana nime weka pia API ya Direct Pay, ambayo inapokea malipo kutoka PayPal na unaweza withdraw kwa ATM, for the purpose ya ku_bypass hao BoT, so kwa kupitia API za Direct Pay ndio nitapata access ya kutuma pesa direct to M-Pesa number kwa kila transaction badala ya kutoa kwenye ATM