Nafikiri Ni muhimu sana hasa kwa biashara za mtandaoni. Na ki uhalisia Kuna fursa nyingi mtandaoni zenye faida nzuri kuliko hata charges hizi. Na kwa kuwa wengi tunazihitaji kwa ajili ya ajira/malipo yatokanayo na kazi za mitandao. Ukiangalia faida Ni nyingi kuliko hasara, Chief.Kwa hizi gharama bora usiwe nayo tu, its way much cost to have it!
mkuu hebu nipe michakato inayoweza kunipa mawe mtandaoni hasa kaziNafikiri Ni muhimu sana hasa kwa biashara za mtandaoni. Na ki uhalisia Kuna fursa nyingi mtandaoni zenye faida nzuri kuliko hata charges hizi. Na kwa kuwa wengi tunazihitaji kwa ajili ya ajira/malipo yatokanayo na kazi za mitandao. Ukiangalia faida Ni nyingi kuliko hasara, Chief.
Actually sijaanza, ila fursa zote nilizotaka kufanya zilihitaji niwe na mfumo wa kupokea malipo ambao unatambulika electronically...! Ndiyo maana ninafuatilia kwa makini Comments za mdau #muda wote. Ila pia Kuna Uzi wa mdau #Mwelewa nao unafafanua vizuri juu ya online transactions.mkuu hebu nipe michakato inayoweza kunipa mawe mtandaoni hasa kazi
yeah naelewa ila ning'ate sikio japo nipate ufahamu hata wa nini kinaweza kuwa na manufaaActually sijaanza, ila fursa zote nilizotaka kufanya zilihitaji niwe na mfumo wa kupokea malipo ambao unatambulika electronically...! Ndiyo maana ninafuatilia kwa makini Comments za mdau #muda wote. Ila pia Kuna Uzi wa mdau #Mwelewa nao unafafanua vizuri juu ya online transactions.
Mkuu huduma nyingi zinakubari paypal kama ni za Australia zinakubari Skrill na wengi tu wanakubari bank wire, kwa hiyo kwa sasa payoneer siyo muhimu sana japo inasaidia kwenye global payment maana inakupa fursa ya kutengeneza account ya pesa yoyote kubwa ukaitumia kulipwa na ela ita appear kwenye akaunti yako ya payoneer mfano kama una card ya dollar ukalipwa kwa euro kwenye akaunti ya euro pesa itaonekana kwenye akaunti yako lakini haitosoma kwenye kadi yako so unaenda kwenye currency ,management una convert hizo euro kwenda USD baada ya dakika 3-15 zinasoma kwenye kadiActually sijaanza, ila fursa zote nilizotaka kufanya zilihitaji niwe na mfumo wa kupokea malipo ambao unatambulika electronically...! Ndiyo maana ninafuatilia kwa makini Comments za mdau #muda wote. Ila pia Kuna Uzi wa mdau #Mwelewa nao unafafanua vizuri juu ya online transactions.
Hata mimi imenisumbua sana hii kitu, mkuu unatumia cryptocurrency nini?Heshima kwenu wanaJF...
Wakuu, kuhusu kupokea pesa kwa PayPal nchini Tanzania, status ni ipi?
Watanzania wengi walijaribu kuwasiliana na PayPal management kuhusu kuruhusu upokeaji wa pesa Tanzania. Majibu ya PayPal ni kwamba wao hawana tatizo, ila shida kubwa ni pale B.o.T penye PhD holders 17 !!
Inasemekana kuwa majirani zetu Kenya wanaingiza kipato via Paypal bila zengwe yoyote.
Kwa Tanzania a.k.a Tanzagiza... What's the latest ground so far?
-Kaveli-
Professor yeyote ambayo ana kitambi ujue hilo ni kanjanja au kanyaboya lisilo na akili.Mie mwenyewe kuna support fulani hivi nimeikosa coz siwezi kupokea payment kwa PayPal. Hii nchi inakera sana!
Afu ukute ni mtu mmoja tu na likitambi lake hapo BoT ndiye anadelay ku-authorize hii kitu nchini.
-Kaveli-
Tatizo ilikuwa ni kuitoa ile ela iliyomo paypal ukaihamishia kwenye bank account yako ukaitoa mfano nina duka online malipo nayapokea kwa paypal ilikuwa ina ni lazimu na mimi ile ela niimtumie mtu aliyeko nje ya tanzania via his paypal account aitoe ainiwekee kwenye akaunti ya kawaida ay ainitumie via skrill. Ila CRDB no nimewacheck wame confirm kuwa wameanza pokea pesa toka paypal
Kwa majirani zetu hadi skrill unaweza kufanya instant withdrawal kupitia mpesa.Heshima kwenu wanaJF...
Wakuu, kuhusu kupokea pesa kwa PayPal nchini Tanzania, status ni ipi?
Watanzania wengi walijaribu kuwasiliana na PayPal management kuhusu kuruhusu upokeaji wa pesa Tanzania. Majibu ya PayPal ni kwamba wao hawana tatizo, ila shida kubwa ni pale B.o.T penye PhD holders 17 !!
Inasemekana kuwa majirani zetu Kenya wanaingiza kipato via Paypal bila zengwe yoyote.
Kwa Tanzania a.k.a Tanzagiza... What's the latest ground so far?
-Kaveli-
Uko juu, ninashukuru kwa ufafanuzi wako, chief.Mkuu huduma nyingi zinakubari paypal kama ni za Australia zinakubari Skrill na wengi tu wanakubari bank wire, kwa hiyo kwa sasa payoneer siyo muhimu sana japo inasaidia kwenye global payment maana inakupa fursa ya kutengeneza account ya pesa yoyote kubwa ukaitumia kulipwa na ela ita appear kwenye akaunti yako ya payoneer mfano kama una card ya dollar ukalipwa kwa euro kwenye akaunti ya euro pesa itaonekana kwenye akaunti yako lakini haitosoma kwenye kadi yako so unaenda kwenye currency ,management una convert hizo euro kwenda USD baada ya dakika 3-15 zinasoma kwenye kadi
Mkuu haijalishi iwe akaunti gani paypal Tanzania ulikuwa huwezi withdraw ela haijalishi ulikuwa unatumia akaunti gani huo ndo ukweli ulikuwa unaweza kuload ela kwenye akaunti ya paypal kutoka akaunti ya bank, ukapokea ela kwenye akaunti ya paypal kwa kulipwa au kutumiwa lakini kulikuwa hakuna njia ya kuwithdraw hapa TanzaniaVipi ulifungua paypal account ipi? Kwa maana wana account za aina tatu tofauti au nne (mahsusi kwa ajili ya watu kama wanafunzi), Personal, business or premier account. Hiyo personal ina limitations kidogo especially kwenye kupokea fedha ingawa nayo inaweza tu kupokea ila hizo za business na premier ziko poa kabisa.
Mkuu haijalishi iwe akaunti gani paypal Tanzania ulikuwa huwezi withdraw ela haijalishi ulikuwa unatumia akaunti gani huo ndo ukweli ulikuwa unaweza kuload ela kwenye akaunti ya paypal kutoka akaunti ya bank, ukapokea ela kwenye akaunti ya paypal kwa kulipwa au kutumiwa lakini kulikuwa hakuna njia ya kuwithdraw hapa Tanzania
In short ni kwamba unaweza weka ela paypal kutoka kwenye akaunti yako ya benki ila huwezi toa ela iliyoko paypal ukaituma kwenye akaunti yako ya benkiHapo umenimix bado. Kwahiyo ilikuwa ukiituma hiyo hela kutoka paypal account to your bank account ilikuwa haikubali ama vipi? Manake ukifungua paypal akaunti unaweza kuioanisha na akaunti yako ya bank, sasa ukiituma inakuwaje? Ni paypal ndio walikuwa wanashindwa kuipeleka ktk bank yako au bank zetu nchini zilikuwa hazikubali pesa from paypal??
Mkuu msaada.nataka nianze kupiga vikazi vya online.platform nyingi wameweka options mbili kulink bank acc.ya paypal na payoneer unanishauri nifungue acc ipi kati ya paypal au payoneer isiyo na charges kubwa na ambayo nitaweza kudraw pesa kuja kwa acc yangu ya bank?In short ni kwamba unaweza weka ela paypal kutoka kwenye akaunti yako ya benki ila huwezi toa ela iliyoko paypal ukaituma kwenye akaunti yako ya benki