PAYPAL Status in Tanzania

Sawa hiyo kadi ya payoneer unawezaje kuweka pesa kwenye hiyo kadi au inatumika kwa kulipwa pesa tu kama kuna Company uliyo jiunga nayo ndiyo inakulipa kwa kutumia hiyo kadi? Yaani kwa bongo online business bado ni kizungumkuti mkubwa haswa kwenye withdraw process hapo ndio patamu labda kwenye biashara ya bitcoin hapo unaweza pata pesa yako bila longolingo kwa kutumia L- Pesa au kutoa bitcoin zako kwenye account yako ya blockchain au coinbase na kuzipeleka moja kwa moja kwenye account yako ya 1xbet kama unayo hapo utazipokea bitcoin zako zikiwa Tsh. Bila tatizo lolote ila zikifike kwenye 1xbet unachotakiwa kufanya ni ku bet muxbet yenye timu zisizopungua tatu baada ya hapo unaweza kuito hiyo pesa na kuiweka mfukoni mwako na kuitumia.


Sent using Jamii Forums mobile app


Payoneer kadi iyo hapo nimetumiwa last week. Ninaweza kununua chochote kwenye Internet na pia kupokea pesa kutoka kwa mtu yeyote duniani.
 
Huwezi weka ela kwenye hii kadi mkuu, na inapokea malipo kutoka kwenya makampuni tu siyo individual person, una draw ela kwenye any atm supporting mstaer card.
kwa mwaka unailipia annual fee ya $29
kutoa ela wanakuchaji $1
kucheck salio wana kuchaji $1
ukitoa ela ikagoma wana kuchaji $1
bado makato ya wamiliki wa ATM mimi normally uwa na withdrew kuanzia laki mbili kupanda japo huwezi withdraw zaidi ya laki 6 per go na uwa ATM charges mfano crd wananikata Tshs 8,000
Kadi ikiisha muda kuagiza wana charge $12
 
Nadhani hii changamoto ya paypal ishapata suluhisho .....crdb wameanzisha huduma ya kupokea hela kutoka paypal
 
Mkuu mchakato wa kukamilisha kupata hi upoje? Hasa kipengele cha kuwa na akaunti benki. Hakuna usumbufu?
Ingia payoneer.com, jaza infos zako fresh utakuwa umefungua accoun ila kupata hiyo kadi zamani ilikuwa unakuta option ya kuomba siku hiyo hiyo ila kwa sasa kwa new users kupata hiyo option inabidi account yako ya payoneer iingie ela isyopungua 32 dollars
 
Asante, chief! Kwa hiyo natakiwa kuwa akaunti ya benki inayotunza dola, na utaratibu wa benki (kwa uzoefu wako) ni benki iko supportive kwa hapa Tanzania? Na gharama za kufungua akaunti Aina hiyo zikoje? Nitashukuru
 
Asante, chief! Kwa hiyo natakiwa kuwa akaunti ya benki inayotunza dola, na utaratibu wa benki (kwa uzoefu wako) ni benki iko supportive kwa hapa Tanzania? Na gharama za kufungua akaunti Aina hiyo zikoje? Nitashukuru
Ukiwa na hiyo kadi siyo lazima uwe na akaunti Bank unaweza draw ela toka akaunti ya payoneer kwenye atm inayo support master card itafanyika conversion automatically upokee tshs.
Incase unataka hamisha ela toka kwenye payoneer kuja kwenye akaunti yako ya bank unahamisha pesa ile ile ikifka bank itaconvert wakuwekee tshs.
Makato ya payoneer ni makubwa hasa ukitumia hiyo kadi sema kama unapokea ela nyingi haina shida. Nimecheki na crdb naona kwama ni kweli kwa sasa paypal inapokea ela
 

Ni maana ya PayPal ?
 
Kwa hizi gharama bora usiwe nayo tu, its way much cost to have it!
 
Kwa hizi gharama bora usiwe nayo tu, its way much cost to have it!
The good thing about this card unaweza kuwa na account linked with your card anywhere in the world mfano nina USD dollar account USA, NInayoo ua AUD Australia ninayo ya EURO Germany, unaweza kuwa na JPY, Ya pesa ya kichina zote una request wanakutengenezea but zinapokea ela tu kutoka kwenye makampuni tu huwezi eti pokea from individual au ukaitumia kama saving ila makato yao ni kwei isyo friendly ila ni njia moja wapo ya kukusaidia kupokea ela ela faster kutoka sehemu mbalimbali duniani faster
 

Kaveli hebu weka sawa hii...

Tatizo ni kutopokea hela baada ya kuuza bidhaa online kwa njia ya paypal wewe kama “merchant” au tatizo ni nini?
Manake wapo watu wanafanya manunuzi kupitia paypal account zao na iwapo bidhaa waliyotaka ina kasoro then wanarudishiwa pesa zao “refund”
Ukifuatilia namna paypal inafanya kazi ni simple. Uwe na account paypal na/au uiunganishe na account yako ya bank kwa ajiliya kuwezesha malipo kufanyika. Sasa sijaelewa hapo unaposema BOT hawajaikubali paypal, una maanisha nini hasa?
Hebu tuweke wazi hii kitu...
 
Mtatakatisha pesa haramu.
Ungekuwa ushawahi tumia hizi huduma ungejua kuwa ni kazi tena nisema absolutely impossible kuzitumia kutakatisha pesa chafu kwanza wanatumia mfumo wa KYC na AML
 
Hapo hio kadi ufanyie biashara za forex za madolari ya kutosha labda ndio itakuwa nafuu! Ila kwa biashara za kubangaiza ngumu sana za kulipana dolla 40 kwa week! saingine ukae muda bila activity wanakumanga tu!
 
Tatizo ilikuwa ni kuitoa ile ela iliyomo paypal ukaihamishia kwenye bank account yako ukaitoa mfano nina duka online malipo nayapokea kwa paypal ilikuwa ina ni lazimu na mimi ile ela niimtumie mtu aliyeko nje ya tanzania via his paypal account aitoe ainiwekee kwenye akaunti ya kawaida ay ainitumie via skrill. Ila CRDB no nimewacheck wame confirm kuwa wameanza pokea pesa toka paypal
 
hili paypal serikali ya viwanda hawaioni au hadi watu watumbuliwe.
 
Hapo hio kadi ufanyie biashara za forex za madolari ya kutosha labda ndio itakuwa nafuu! Ila kwa biashara za kubangaiza ngumu sana za kulipana dolla 40 kwa week! saingine ukae muda bila activity wanakumanga tu!
No wanakata 29 mara moja kwa mwaka na malipo mengine pale unapotumia kadi, makato mengine ndiyo hayo ya ku withdrew $1, cobversion fee ya 3% na charges za wenye atm yao ambapo mm mara nyingi uwa natumia atm za crdb uwa wananikata 8,000 hata kwa kila ela ninayo draw kufikia 500,000. Sema still nakuunga mkono makato yao ni makubwa
 
Yeah CRDB wezi sana yani japo unalipa dolla 1 ila wao wanachukua dola 3 na nusu si sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…