Binafsi nashangaa mpaka wabunge vijana kabisa kama kina Zitto HKigwangalla anaekomalia watu wajiajiri wakati hata tafsiri halisi ya kujiajiri inaonekana haifahamu. Kina John Mnyika , Hussein Bashe hawalizungumzii kabisa suala hili. Tunaye waziri wa fedha ambaye ameshafanya kazi mpaka WB lakini yupo kimya. Nchi inaendeshwa utafikiri tuko karne ya 9!
Mkuu, unamaanisha kwamba unapokea Payment (not 'refund' from PayPal management) kutoka kwa mtu mwingine mwenye paypal account na inaingia kwenye local bank yako CRDB ?
N.B: Inshu sio just a 'transaction'. Inshu ni je hiyo Transaction ni 'refund' ama ni 'payment' ?
-Kaveli-
Itabidi ufanywe mpango huo. Aangushiwe mtu hata jumba bovu, mfano: Philip Mpango amepewa rushwa ya 500Bil ili azuie paypal kutumika nchini. Labda itasaidia kumtoa tongo tongo. Nchi hii imekuwa na viongozi kama midoli tu hawana maono yoyoteLabda mpaka Mange akilisemea hili ndipo 'decision makers' wetu watafungua bongo zao. Maana siku hizi ni mpaka Mange aseme. Poor Tanzania !
-Kaveli-
Hizo PhD 17 watakwambia walisoma enzi hizo computer yamezani ilikua na RAM ya 100MB na processing speed ya 3MHz. Na walikua wanaoneshwa tu kwa mbali. Wataujulia wapi umuhimu wa "online jobs"
kwani mkifikisha ujumbe bila malalamiko kwamba mbona fulani anacho inakuagaje?
mkileta hoja isiyo na mifano ya ulazima tunapungua nini?
ifike mahala liletwe pendekezo tu lisielemee upande mmoja...
mara Tanzagiza mara nini... Grow up Mkuu!!!
Hoja hata ikiwa ina mantiki lakini ikishawekwa malalamiko na malawama yasiyo na msingi inapoteza ladha kabisa.
Hivi Wa Tz tupoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo kuna wazee weng pale. Hili nalo ni tatizoImagine PhD holders 17 pale BoT, lakini bado hawaoni umuhimu wa Paypal kwenye nchi hii ambayo unemployment rate is alarming !
Hovyo sana kuwa na viongozi washamba washamba wasio kuwa na global exposure kwenye masuala mbali mbali yenye tija kwenye uchumi wa nchi yetu.
Viongozi wanaThink kilocal local tu.
-Kaveli-
mkuu nami hii card ilikuwa ni option kwangu baada ya kuona zengwe la paypal kwa nchi yetu... ila kuna sehemu nilikwama ktk viambatanishi na pia address... sasa sijui una weza nisaidia maelezo kidogo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Payoneer kadi iyo hapo nimetumiwa last week. Ninaweza kununua chochote kwenye Internet na pia kupokea pesa kutoka kwa mtu yeyote duniani.
Napokea REFUND baada ya transaction kuwa refunded
Nimeipenda hii idea mkuu. Wanasema TZ ni kichwa cha mwendawazimu na bila kukurupushwa hawawezi kuamkaItabidi ufanywe mpango huo. Aangushiwe mtu hata jumba bovu, mfano: Philip Mpango amepewa rushwa ya 500Bil ili azuie paypal kutumika nchini. Labda itasaidia kumtoa tongo tongo. Nchi hii imekuwa na viongozi kama midoli tu hawana maono yoyote
Itabidi ufanywe mpango huo. Aangushiwe mtu hata jumba bovu, mfano: Philip Mpango amepewa rushwa ya 500Bil ili azuie paypal kutumika nchini. Labda itasaidia kumtoa tongo tongo. Nchi hii imekuwa na viongozi kama midoli tu hawana maono yoyote
Nimeipenda hii idea mkuu. Wanasema TZ ni kichwa cha mwendawazimu na bila kukurupushwa hawawezi kuamka
Sent using Jamii Forums mobile app
Payoneer kadi iyo hapo nimetumiwa last week. Ninaweza kununua chochote kwenye Internet na pia kupokea pesa kutoka kwa mtu yeyote duniani.
Hii barua niaje?Acha kuandika pumba hapa. Mie nimeulizia 'STATUS' ya jambo hilo ipoje kwa sasa? Au hujuwi maana ya kuulizia status ya jambo fulani eeh? It means kwamba uzi huu sio the 'first in queue' kuhusu PayPal Tanzania Payment Withdrawal. Watu weshaongea sana. Watu weshaandika sana hapa JF. Hadi kuna 'Paypal Tanzania Petitions' kadhaa zilisainiwa tangu mwaka juzi na mwaka jana ili kuwasilishwa huko BoT. So what else 'pendekezo' do you want me to ink down here?
Apart from 'pendekezo' kutoka kwa wananchi, ina maana hizo PhD 17 hapo BoT hawana uwezo on their own kufanya need assessment ya huduma hii hapa nchini as per economic point of view? wanasubiri kuwa fueled by pendekezo from wananchi? yaani hawaoni kabisa faida za huduma hii kwenye uchumi wa nchi? hehehee hili Taifa ndiyo maana limegota.
Now look at this scenario... kwa sasa hivi nchi karibia zote duniani zinatumia PayPal transaction services. Isipokuwa kwa Tanzania, the service is limited. PayPal Tanzania inaruhusu kufanya manunuzi tu basi. Thus, watanzania wenye paypal accounts wanatoa pesa kununua vitu online nje ya nchi.
Ila kuuza au kupokea malipo online, yaani kuingiza pesa za kigeni nchini Tanzania, PayPal inakataa coz BoT hawajaruhusu! Usitake kuniaminisha kwamba eti bado BoT au decision-makers hawajaona umuhimu wa huduma hii. Hell no! Rather it is just local mentality of our viongozi na kukosa global exposure. Sasa mpaka hapo huoni kuwa Tanzania bado ipo gizani?
Kama madai haya unayaona hayana msingi wowote eti kisa yapo kwenye muundo wa 'malalamiko', basi wewe pia akili zako bado zipo gizani, tena ni giza totoro! Grow up mdada. (My sincere apologies kama una umri sawa na mama yangu). FYI... kwenye Advocacy initiative, kunakuwa na several interventions & strategies to be taken on board.
Among other things, tatizo la nchi hii ni kuhitajika kwa the so called 'political will' kwenye kila jambo. Wasomi wetu with full mandate and professionalism wanasubiria mpaka wanasiana waanze kusema majukwaani ndipo wachukue hatua. Too bad wanasiasa wenyewe tunaosubiria waliamshe dude, ndiyo hao ambao the majority ni elimu ya 'KKK'... wazee wa ndiyoooooooooooo na kugonga meza! How comes waweze kuwa updated na kufanya follow-up on global stuffs like this. Otherwise mpaka Mange aseme. Teh teh teh.
Dunia ya sasa ni kama kijiji. Lazima tuende sambamba na global avenues za kiuchumi as they pop up.
-Kaveli-
Hii barua niaje?
kwani hakunaga sanduku la maoni kwa mwenyekiti/mkuu wa mkoa/wilayani nk?
au anzisheni kampeni ya wazi ,mfanye harambee
.........
hakuna alieandika pumba hapa
wote tuko nyuma ya keyboard tumejificha.
hata hio hoja yako ulivoanza na kashfa nmeitoa maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kitu wanakosea sana ni kuwa ni rahisi mtu kutuma hela direct from bank account kwenda nje kuliko kuwithdraw cash from foreign country. Yaan ndo maana Tsh haipandi bei kwani wachache ndo wananunua hii local currency ila wangeruhusu watu tupige dola huko tuna draw kwa Tsh means demand ya Tsh currency ingeongezeka. Sasa wanachofanya ni kushusha shilling kwani wengi tunanunua dola na tukitaka kupata Tsh inakuwa ngumu.Tz ecomy won't grow unless we update our e-commerce regulations.Umeongea kweli kabisa mkuu. Ukute hizo PhD ni za kipindi cha zama za mawe. Mtu kapata PhD wakati wa uhuru afu leo hii umueleze habari za online jobs?!! lazima ang'ae sharubu tu.
Ila pia yawezekana wana wivu tu na husuda, kwamba... ''aaargh hawa vijana watapata pesa kirahisi mno, sie mbona tulitaabika sana na kutoka jasho". Wazee wengi wa nchi hii ni conservative kinoma, yaani hawaamini kijana apate pesa katika umri mdogo.
Kuna mzee fulani kitaani kwetu ni dereva taxi. Huwa akiona kijana let say in his/her late 20s hivi anapita akidrive, anashangaa mno na kusema ''...hawa vijana wa siku hizi wanapata wapi hizi mali mapema hivi''? mie huwa namjibu kwamba asitake kurudisha wakati nyuma. Dunia ya jana, siyo dunia ya leo.
-Kaveli-
sasa unadhani hapa patasaidia mkuu?Kwani bandiko langu linatoa MAONI? au linauliza STATUS ya jambo husika? Jifunze kutofautisha between the lines.
Kujibu swali lako: Possibly 'masanduku ya maoni' yapo kwenye hizo ngazi ulizotaja. Lakini funguo walishapoteza.
-Kaveli-