Kwa Tanzania tunaambiwa vijana fikirini [HASHTAG]#NjeYaBox[/HASHTAG] mjiajiri ?Heshima kwenu wanaJF...
Wakuu, kuhusu kupokea pesa kwa PayPal nchini Tanzania, status ni ipi?
Watanzania wengi walijaribu kuwasiliana na PayPal management kuhusu kuruhusu upokeaji wa pesa Tanzania. Majibu ya PayPal ni kwamba wao hawana tatizo, ila shida kubwa ni pale B.o.T penye PhD holders 17 !!
Inasemekana kuwa majirani zetu Kenya wanaingiza kipato via Paypal bila zengwe yoyote.
Kwa Tanzania a.k.a Tanzagiza... What's the latest ground so far?
-Kaveli-
hii inakera kinoma kuna vihela nina vikosa kwasababu hii,ujue paypal inaaminiwa zaidi sasa sijui kwanini tz hawairuhusu.Heshima kwenu wanaJF...
Wakuu, kuhusu kupokea pesa kwa PayPal nchini Tanzania, status ni ipi?
Watanzania wengi walijaribu kuwasiliana na PayPal management kuhusu kuruhusu upokeaji wa pesa Tanzania. Majibu ya PayPal ni kwamba wao hawana tatizo, ila shida kubwa ni pale B.o.T penye PhD holders 17 !!
Inasemekana kuwa majirani zetu Kenya wanaingiza kipato via Paypal bila zengwe yoyote.
Kwa Tanzania a.k.a Tanzagiza... What's the latest ground so far?
-Kaveli-
Kwa Tanzania tunaambiwa vijana fikirini [HASHTAG]#NjeYaBox[/HASHTAG] mjiajiri ?
Binafsi nashangaa mpaka wabunge vijana kabisa kama kina Zitto HKigwangalla anaekomalia watu wajiajiri wakati hata tafsiri halisi ya kujiajiri inaonekana haifahamu. Kina John Mnyika , Hussein Bashe hawalizungumzii kabisa suala hili. Tunaye waziri wa fedha ambaye ameshafanya kazi mpaka WB lakini yupo kimya. Nchi inaendeshwa utafikiri tuko karne ya 9!Imagine PhD holders 17 pale BoT, lakini bado hawaoni umuhimu wa Paypal kwenye nchi hii ambayo unemployment rate is alarming !
Hovyo sana kuwa na viongozi washamba washamba wasio kuwa na global exposure kwenye masuala mbali mbali yenye tija kwenye uchumi wa nchi yetu.
Viongozi wanaThink kilocal local tu.
-Kaveli-
mtandaoni kuna kazi kibao kila nikicheki malipo paypal inahitajika daah alafu hawaoni umuhimu.
ukiwacheki paypal wanakwambia ongeeni na benki yenu
uongozi uliojaa phd na profs lakini .....Mungu tu ndo anajua!Hizo PhD 17 watakwambia walisoma enzi hizo computer yamezani ilikua na RAM ya 100MB na processing speed ya 3MHz. Na walikua wanaoneshwa tu kwa mbali. Wataujulia wapi umuhimu wa "online jobs"
Unashangaa nini?, Jiunge na payoneer leo. Ukshajiunga unatumiwa kadi ya VISA ili kutoa fedha zako kwenye ATM yoyote ile nchini.hii inakera kinoma kuna vihela nina vikosa kwasababu hii,ujue paypal inaaminiwa zaidi sasa sijui kwanini tz hawairuhusu.
kenya unaweza pokea mpunga toka paypal to mpesa(na mpesa yao ya kibabe si mchezo)
kwa anzia lini mkuuMiye mbona nikipokea transaction ya paypal niliyoilink na CRDB na nikiwatumia CRDB ile transaction pesa inaingia?
Au sijaelewa malipo mnayoongelea?
Unashangaa nini?, Jiunge na payoneer leo. Ukshajiunga unatumiwa kadi ya VISA ili kutoa fedha zako kwenye ATM yoyote ile nchini.
www.payoneer.com
Sent using Jamii Forums mobile app
paypal everywhere mkuu sikatai umuhimu wa payoneer by the way nilijiunga payoneerUnashangaa nini?, Jiunge na payoneer leo. Ukshajiunga unatumiwa kadi ya VISA ili kutoa fedha zako kwenye ATM yoyote ile nchini.
www.payoneer.com
Sent using Jamii Forums mobile app
yaan inauma sana
Pelekea idea kwa wapenda KIKI, huenda ikafanyiwa kazi. Siku hizi mambo hayaendi bila KIKI.Kwakweli inakera na kushangaza sana. PayPal ingeweza kuiingizia Tanzania pesa nyingi sana za kigeni. Watu wanahold PhD lakini wana local mentality.
Duniani karibia nchi zote now PayPal ni trusted entity for e-commerce and money transactions. Why NOT in Tanzania? ama Tanzania ni kijiji kilichopo nje ya Dunia? Hili linchi kila kitu tupo nyuma. Kila secta ni majanga tu!
-Kaveli-
Miye mbona nikipokea transaction ya paypal niliyoilink na CRDB na nikiwatumia CRDB ile transaction pesa inaingia?
Au sijaelewa malipo mnayoongelea?
Pelekea idea kwa wapenda KIKI, huenda ikafanyiwa kazi. Siku hizi mambo hayaendi bila KIKI.
Sent using Jamii Forums mobile app