Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,465
- 9,155
Ngoja tcra waje mmoja yupo humu ila ana kiburi huwa hajibuWakuu System za malipo zinasumbua kuanzia transaction za lipa namba mpaka manununuzi ya Luku system zote zipo down
Wakuu shida ni nini na TCRA wapo kimya
Yas na halopesa ni majanga, hao wengine sijuiMitandao yote ? Au kuna mtandao husika, tatizo limeanza saa ngapi ? Maana mimi nimelipa kwa MPESA jioni hii
Nimejaribu kwa LUKU inagoma kwa mitandao ya simu kote nafikiri ishu ni kati ya mitandao na GePG, shida Tanzania mitandao ya simu na benki wanapitia njia moja ambayo ni GePG kama unahitaji LUKU usilale gizani tumia Selcom PESA yeye ameconnect na TANESCO moja kwa moja maana alikuwepo kabla ya GePGYas na halopesa ni majanga, hao wengine sijui
TANESCO wametoa tangazo kwa wateja kuwa kuna tatizoWakuu System za malipo zinasumbua kuanzia transaction za lipa namba mpaka manununuzi ya Luku system zote zipo down
Wakuu shida ni nini na TCRA wapo kimya
Luku inasumbua kununua kwa mitandao yoteYas na halopesa ni majanga, hao wengine sijui