Manyanda M Member Joined Jan 16, 2010 Posts 7 Reaction score 3 Jul 2, 2016 #1 Ndugu wanajamvi, Naomba kwa yeyote mwenye formula (Kanunu) ya ukokotoaji wa PAYE Tanzania Bara inayozingatia madaraja mapya yanayoanza Julai Mosi 2016. Ahsante
Ndugu wanajamvi, Naomba kwa yeyote mwenye formula (Kanunu) ya ukokotoaji wa PAYE Tanzania Bara inayozingatia madaraja mapya yanayoanza Julai Mosi 2016. Ahsante
CMH Member Joined Jun 12, 2015 Posts 69 Reaction score 22 Jul 3, 2016 #2 Si mpk sept 2016! Mambo bado hayaeleweki. Vuta subira wataalam wataleta tetesi.