PAW .......... Naongea na Wewe!!!



Huyo lusungu ulimaanisha mie au?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Mamndenyi kwa taarifa tu there is no free chance in the world.

unaposema Mkono mtupu haulambwi unamaana gan au hujui hakuna mkono mtu jamii forum
moja ukitaka kuaccess jamii forum lazima uweke bando ambalo wahusika wanafanya makubalina na makampuni ya simu maana mtumiaji kitalaamu tunasema ana request access ya server ya jamii forum hivyo kampuni za simu humpa percentage yake ya kuhold ile domain yake.
pili ukitaka kudownload kwenye server yao zile mb huwa kubwa kulingana na file hivyo share huwa kubwa kutokana na watumiaji wanapokuwa wengi.
tatu matangazo ya biashara ambayo huwa na bei kubwa
hivyo kwa hizo sababu tatu sidhani kama utaniambia jamii forum ni free

 

Aione kiranja mkuu. Mie sitii neno.
 
weeh muache tu. halafu kaka unajua Paw alisafiri, nampigia simu hapokei. sijui imelowekwa?šŸ˜•

unajikausha eeh? huu ujane utakupeleka kubaya, ntakuja na matarumbeta! shosti.


Hongera kwa kupata mtoto.
........
 
Last edited by a moderator:
King'asti,
Hapa soma mwenyewe tu ni siri;
...........Hivi aliyejifungua ni wewe au ni wake wenzio?
...........
weeh muache tu. halafu kaka unajua Paw alisafiri, nampigia simu hapokei. sijui imelowekwa?šŸ˜•

unajikausha eeh? huu ujane utakupeleka kubaya, ntakuja na matarumbeta! shosti.
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi, weeh tuchimbe tu. Familia inazidi kupaaaa.
Mie nakunywa mtori hapa, nakushangah hata kuleta beseni la kuogeshea mtoto. bahati nzuri Paw alishafanza shopping zooote na wifi AshaDii.

Karibu ule mikuku ya chienyeji
King'asti,
Hapa soma mwenyewe tu ni siri;
...........Hivi aliyejifungua ni wewe au ni wake wenzio?
...........
 
Last edited by a moderator:
Nitakuja kukupikia tu huo mtori;
Utaonja test tofauti kabisa na hayo mapishi ya mjini;
Mamndenyi, weeh tuchimbe tu. Familia inazidi kupaaaa.
Mie nakunywa mtori hapa, nakushangah hata kuleta beseni la kuogeshea mtoto. bahati nzuri Paw alishafanza shopping zooote na wifi AshaDii.

Karibu ule mikuku ya chienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…