Umenigusa kweli mama!!!!!!!!!!!!Nimekutana na watani zangu hapo mtaa wa kati, Jamani lipieni sasa, loooh Chris Lukosi Plato Mkuu wa chuo shosti Revolution Mr Kicheko LiverpoolFC ndetichia kabanga genekai lyinga Eiyer
Nimekutana na watani zangu hapo mtaa wa kati, Jamani lipieni sasa, loooh Chris Lukosi Plato Mkuu wa chuo shosti Revolution Mr Kicheko LiverpoolFC ndetichia kabanga genekai lyinga Eiyer
hahahahahahah ni kweli mkono mtupu haulambwi, ngojea tuje tuchangie tujichange, ukija unatoka na jiwe la Tanzanite kabisa, au kama vipi tunaweza tukaanza na Gold...Nimekutana na watani zangu hapo mtaa wa kati, Jamani lipieni sasa, loooh Chris Lukosi Plato Mkuu wa chuo shosti Revolution Mr Kicheko LiverpoolFC ndetichia kabanga genekai lyinga Eiyer
Paw hata like huwa hagongi, duuh jamaa mkimya sana, mpaka mdada kaamua kukuchokonoa
Wewe nawe kwa umbea....! Wengine tumechangia ila hatutaki status zetu zibadilike....Salamu sana wana CC wote,
Leo nimeamua nimtokelezee Paw;
Paw Kwa cheo chako naamini kabisa mara zote unachungulia humu JF.
Paw hivi unajisikiaji unapokutana na wana jf maarufu kama Arushaone, jme, Kibo10, ubwabwa2, OKW BOBAN SUNZU, lusungu Candid Scope
Wakiwa wamekauka kabisa kuchangia .......... Mkono mtupu haulambwi ........... unajisikiaje?
Pia kwa wale wengine ambao mmekauka kimyaaa
............Jamani amueni sasa, wakati ndio huu;