Salamu sana wana CC wote,
Leo nimeamua nimtokelezee Paw;
Paw Kwa cheo chako naamini kabisa mara zote unachungulia humu JF.
Paw hivi unajisikiaji unapokutana na wana jf maarufu kama Arushaone, jme, Kibo10, ubwabwa2, OKW BOBAN SUNZU, lusungu Candid Scope
Wakiwa wamekauka kabisa kuchangia .......... Mkono mtupu haulambwi ........... unajisikiaje?
Pia kwa wale wengine ambao mmekauka kimyaaa
............Jamani amueni sasa, wakati ndio huu;

Nilishtukia JF ilivyo na wabunifu wazuri wa kuvutia wadau kuchungulia mada katika majukwaa wasiyokuwa na mazoea kutembelea, kumbe nako ni kona nzuri ya vunja mbavu baada ya kutimuliana vumbi huko kona za mikingamo ya akina Mamndenyi