Paulo na mgeukeo usioeleweka

Paulo na mgeukeo usioeleweka

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,579
Reaction score
40,802
Matendo ya Mitume 9

Walilisikia sauti
Hawakuona mtu yeyote
Aliambiwa Paulo aende Damasko

Matendo ya Mitume 22

Hawakusikia sauti
Waliuona mwanga
Aliambiwa Paulo aende Damasko

Matendo ya Mitume 26

Walilisikia sauti
Wote waliuona mwanga
Paulo alitumwa moja kwa moja (bila kuambiwa aende Damasko)

Hii inaonyesha tofauti katika simulizi ya kugeuka kwa Paulo. Ikiwa Biblia ni neno kamili lisilo na makosa, kwa nini kuna tofauti katika hadithi hiyo hiyo iliyoandikwa na mtu mmoja (Luka)?

Hii inaleta maswali juu ya uthabiti wa simulizi na uhalali wa madai ya Paulo kama mjumbe wa kweli wa Yesu.
 
Waislam wasio na elimu umchukia Paulo, ila wale wenye Elimu ya dini Paul ni miongoni mwa mitume wa Allah.
Nb: Author wa kitabu cha matendo sio Paul ni Daktari Luke.
 
Waislam wasio na elimu umchukia Paulo, ila wale wenye Elimu ya dini Paul ni miongoni mwa mitume wa Allah.
Nb: Author wa kitabu cha matendo sio Paul ni Daktari Luke.
Paulo alienda kinyume na mafundisho ya Yesu au nabii Isa (as) ndo kaanzisha( utatu) ambao uko nje ya mafundisho ya awali ya ukuristo.
 
Paulo alienda kinyume na mafundisho ya Yesu au nabii Isa (as) ndo kaanzisha( utatu) ambao uko nje ya mafundisho ya awali ya ukuristo.
Weka ushahidi wa Madai yako.
alafu,kabla ya kuleta ushahidi badili Taito ya uzi wako iwe; LUKE NA MGEUKO GEUKO NA SIO PAUL NA MGEUKO GEUKO.
unamsingizia bure Paul.
 
Back
Top Bottom