Duuuuhh ....wewe Jamaa utakuwa na chuki binafsi "" ..nikweli paulinho hafikii viwango vya xavi wala iniesta lakini unasahau kuwa hao watu uliowataja ni gifted hawakuwa na viwango vya kawaida kiuchezaji ....na sio kweli kwamba "" p..hawezi hata kutuliza Mpira uneshaangalia idadi ya pasi za magoli na mabao aliyoyafunga msimu ulioisha "".....? .... na barca walimchukua Jamaa kama mchezaji wa kipindi cha mpito sio mchezaji wa kumtegemea kwa kipindi cha kuanzia miaka 5s......wamefanya hivyo huku wanajipnga kutafuta mbadala stahiki wa hao manguli