Mpenda sifa na anataka kujiona mtu wa maana na makini, huu ni kutumia madaraka yake vibaya na kumdharirisha huyo binti. Hizi sarakasi wanazozifanya kwa kutaka sifa ilihali wanawaumiza wanyonge ipo siku watajuta.Mwenendo na kauli pamoja na vitendo vya Aliyekuwa RC wa Tabora, ndugu Paulo Chacha, havionyeshi kama mtu huyo anazo akili timamu
Amefanya madudu mengi mno, lakini hill la kumshitaki Msichana kwa madai ya kumtongoza ni uthibitisho wa mashaka yetu, huyo hawezi kuwa mzima, bila shaka ni mwehu
Sijawahi kusikia mtu kashitakiwa kwa kutongoza, hii kwangu ni ya kwanza (Bali wengi hushitakiwa kwa kubaka)
Mnadhani huyu RC wa zamani anazo akili timamu?
Kutongazana watu wazima sio kosa. Chacha n kiazi pro maxKam'bambikia kesi! Hao wanajuana.
I wish ningekuwa Rais. Hadi muda huu ningekuwa nimeshamtimua kwenye hiyo nafasi. Kiufupi hana sifa.Mwenendo na kauli pamoja na vitendo vya Aliyekuwa RC wa Tabora, ndugu Paulo Chacha, havionyeshi kama mtu huyo anazo akili timamu
Amefanya madudu mengi mno, lakini hill la kumshitaki Msichana kwa madai ya kumtongoza ni uthibitisho wa mashaka yetu, huyo hawezi kuwa mzima, bila shaka ni mwehu
Sijawahi kusikia mtu kashitakiwa kwa kutongoza, hii kwangu ni ya kwanza (Bali wengi hushitakiwa kwa kubaka)
Mnadhani huyu RC wa zamani anazo akili timamu?
Sio kosa, ila akikutaza ukarudia kumtongoza ni kosa Ina fall in sexual harassment case,ni kesi za kawaida sana in western countries ndio maana watu wanajua kufunga break wakikataliwaKutongazana watu wazima sio kosa. Chacha n kiazi pro max
Ngoja tuoneSio kosa, ila akikutaza ukarudia kumtongoza ni kosa Ina fall in sexual harassment case,ni kesi za kawaida sana in western countries ndio maana watu wanajua kufunga break wakikataliwa
Bado ameonesha uzumbukuku tu.Mwanaume ni ugumu/uvumilivu/kutolopoka/kutunza mambo na kupuuza usiyoyataka.Ndiyo maana kuna "Adam's apple"!Anajiweka lainilaini na dhalili mnoo!Sio kosa, ila akikutaza ukarudia kumtongoza ni kosa Ina fall in sexual harassment case,ni kesi za kawaida sana in western countries ndio maana watu wanajua kufunga break wakikataliwa
Wewe ndiyo unamshangaa huyo M-ccm mmoja kukosa akili? Mbona maccm yote ni hamnazoMwenendo na kauli pamoja na vitendo vya Aliyekuwa RC wa Tabora, ndugu Paulo Chacha, havionyeshi kama mtu huyo anazo akili timamu
Amefanya madudu mengi mno, lakini hill la kumshitaki Msichana kwa madai ya kumtongoza ni uthibitisho wa mashaka yetu, huyo hawezi kuwa mzima, bila shaka ni mwehu
Sijawahi kusikia mtu kashitakiwa kwa kutongoza, hii kwangu ni ya kwanza (Bali wengi hushitakiwa kwa kubaka)
Mnadhani huyu RC wa zamani anazo akili timamu?
DuhHakuna kitu huwa kinanikata kama kumjua mtu mwenye ngwede kwa kumuangalia tu huwa inanitia uoga mwingi sana