Paul Makonda (UVCCM) on Lowassa

Makonda kiongozi hatari sana katika kuleta maendeleo ya watanzania.
 
Faida ya mwisho kabisa anayoipata Paul Makonda ni ukuu wa wilaya, baada ya hapo tutamkumbuka kama political failure.
 
Last edited by a moderator:
Makonda kanda ya Kaskazini anasubiriwa kama mwali. Kila mtu anataka amguse kwenye 0 I mean ile njia yenye vikwazo vya Askari Inzi.
 
Nadhani kwa usalama wake asijaribu kwenda kanda ya kaskazini...LOWASSA ashinde au ashindwe ni shiiiidah kwa DC Makonda.atakuwa kama vile Sulman Rushdie na Ayatolah Khomein
 
Duh! Sasa si wamshitaki kwa kutoa rushwa maana hilo ni kosa kisheria.
 
Lowasa akimsikia huyu dogo anakuja, anapatwa na usingizi kabisaaa
 
Piga uwa siasa ni game ya trick.Wapo..LOWASSA,KINANA na Mh.Rais hakuna lakuharibika.DC Makonda hana ushawishi kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…