GE2025 Paul Makonda: Ni aibu Arusha kutokuwa na Stendi, haina faida uwe kiongozi halafu hakuna alama uliyoacha

GE2025 Paul Makonda: Ni aibu Arusha kutokuwa na Stendi, haina faida uwe kiongozi halafu hakuna alama uliyoacha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda amesema kuwa ni aibu kubwa kwa jiji kubwa kama Arusha kutokuwa na stendi ya kisasa. Amesisitiza kuwa jambo hilo linapaswa kushughulikiwa haraka ili kuboresha usafiri na hadhi ya jiji.

“Arusha ni lango la utalii wa Tanzania, haiwezekani wageni na wananchi wetu wakakosa stendi yenye viwango vya kimataifa. Tutapambana kuhakikisha jiji letu linapata stendi bora inayostahili hadhi yake,” alisema Makonda.​

Pia Soma: GE2025 - Makonda: Nikishinda Ubunge ntamleta Schwarzenegger mwaka mpya Arusha
 
Hiyo ni aibu ya serikali ya ccm ambayo inakusanya kila siku mapato kutoka vyanzo mbalimbali kama utalii, madini, nk. Halafu hayo mapato yakikusanywa, wanatumia kwenye kununulia magari ya kifahari ya kutembelea, badala ya kujengea stendi ya mabasi.
 
Back
Top Bottom