Paul Makonda kafanya mengi acheni kulalama

Paul Makonda kafanya mengi acheni kulalama

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
469
Reaction score
335
Watanzania acheni kulalamika ona hapa Paul Makonda yupo kazini. Ukitaka afanyie nini taifa zaidi ya hapa
 

Attachments

  • 1424457113161.jpg
    1424457113161.jpg
    55.3 KB · Views: 4,179
Wivu tu unakusumbua mtahangaika sana mwaka huu
 
Wivu tu unakusumbua mtahangaika sana mwaka huu
tumuonee wivu kwa kuwa anaenda kututumikia au unamaanisha nn kuwa sasa atapiga zile dili zenu za ki-ccm zilizozidi mshahara wake x 300
 
makonda ni chaguo lililokuwa halina muelekeo,tanzania ni nchi ya wajinga wasiojali maslahi ya nchi wanacho angalia ni maslahi binafsi na viongozi wetu hawana haya wa aibu
 
Kumbe alikuwa shoeshine wa mtoto wa muheshimiwa
 
Kumbe ukimtwanga mwenyekiti wa tume ya maoni ya wananchi juu ya katiba yao mpya,mambo yanakunyookea!!!
 
hii picha inaonyesha jinsi gani alivyokuwa mtumwa.

ktk utekelezaji wa maagizo atakuwa hodari sana.
 
Nahama nchi kwa muda. Nitarudi JK atakapomaliza muda wake. Upuuzi huu unakera kupita maelezo.
 
Kweli sijui mh rais washauri wake wako wapi! Makondaa! Wilaya kama kinondoni ni ngumu na inahitaji mtu mzoefu sasa makonda ana uzoefu gani? Bora angempeleka ujiji au uvinza au hata kakonko kuliko kinondnoni
 
Kafanya mengi yapi???, kupiga domo ajiri ya kuisaidia ccm iongeze siku za kuishi,WAKATI WANA WA ISAKALI wajuao KUSOMA ALAMA za nyakati wanafahamu kuwa ccm INAENDA KABULINI??.
Yaonyeshe aliyoyafanya YANAYO SHIKIKA HASWA. Kwangu sina wivu ila saa za ccm zinahesabika,ni uchaguzi mbaya tena ni zaidi ya uchaguzi mbovu sana kuwahi kutokea ktk nchi hii.
 
Back
Top Bottom