[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu bora uwe maskin wa ela ila uwe tajiri wa watuKaja kimya kimya??
Dah, jamaa anaishi maisha ya digidigi kwa sasa.
he heKajificha kwenye kivuli cha kinachoendelea dodoma,
Btw nasubir "acha maneno, toa vyeti rmx -Gwajima ft Efm,Mwanahalisi,wakereketwa"
Tunashukuru kwa taarifa na kuanzia kesho tunawasha moto hadi atoe vyetiWakuu habari za weekend nimepenyewa habari kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ambaye kwa sasa ana tuhumiwa kughushi vyeti amerejea jioni ya leo akitokea afrika ya kusini habari hizi zimethibitishwa na mpenyezaji kwani walikuwa wamepanda ndege moja kutokea huko kwa madiba
Mkuu fanya hima tupatie update ili tuongeze bundleArejee bila mange kujua? Ngoja niangalizie bi mdada anasemaje huko insta
Hilo nalo neno lkn leo hii mch Gwajima kalisemea hilo tayariAtakuwa amekuja na vyeti...baada ya kukarabstiwa huko s.africa