Paul Makonda anabebwa sana

Paul Makonda anabebwa sana

Hustler1

Senior Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
116
Reaction score
111
Nimejaribu kumfuatilia huyu bwana sidhani kama anafanya kazi zake kwa weledi inaonekana ni mtu wa kukurupuka tu bila mpango wowote. naamini angekuwa nje ya DAR sidahani kama angeweza kuongoza.

Dar ina mbeba kozi serikali yote iko hapa, raisi yupo hapa, wakuu wa wilaya wanafanya kazi zao vizuri,vyombo vya usalama viko makini na kikubwa zaidi raia wa DAR wanajitambua hawapelekwi kama ng'ombe.

mipango ya hovyo ya makonda iliyofail
1.DAR mpya
2.Mti wangu
3.Kampeni ya tezi dume.
4.msaada wa kisheria kwa akina mama juu ya miradhi .
5.Akina baba waliotelekeza.
6.Yard za magari kuhamia kigamboni
7. Ushindi kwa taifa stars.
8.Kampeni ya usafi dar es salaamu hadi mgambo wakawa wanapiga raia.

mi ndo nimeona ivo kama kuna jambo kafanikisha mnitajie ambalo wakuu wengine wa mkoa Dar liliwashinda
 
Mti wangu kafanikiwa.....ngoja ikue ile
 
Kafanikiwa kuiongoza daresalama ndio mwenyekiti wenu wa kamati ya ulinzi ya mkoa..
Mnalaa fofo
Mnaweza kuandika nyuzi kama hizi..

Kama binadamu anamapungufu yake mengi sana hata wewe unayo
 
Wewe binafsi umeleta mafanikio yenye impact gani hata katika jamii inayokuzunguka, tuanzie hapo kwanza.

Kila jambo lina faida na hasara ama uzuri na ubaya wake.

Kwa nini umeweka failures zake tupu kabla ya kuweka mafanikio yake kwanza?

Mimi ninadhani kwa uandishi wako huo wenye chuki, wewe ni mmoja wapo wa "elements" zilozobanwa mbavu hadi kushindwa kupumua!

Sasa pakupumulia na kutemea nyongo palipobakia salama pekee ni jf penye id feki.

Embu nenda insta ama kwenye magroup ya whatsup katumbue hiyo nyongo yako ya chuki tuone.
Shughuli yoyote inayohitaji ubunifu wa mtu, huwa haitakiwi kubezwa ilimradi huyo anayebuni awe na nia njema ya kujenga na si kubomoa.
 
Na lundo la vibaka kila kona ya jiji wanalaleje fofofo?
 
1. Kampeni ya ushoga,

2. Kampeni ya madawa ikaishia kumdaka Wema Sepetu na bangi.

3. Kampeni ya kupambana na mashoga.

4. Wanaume waliotelekeza familia.

5. Kampeni ya usafi na wagambo wake.

6. Kampeni ya kuondoa machangu.

Dah mshakaj hatoboi yani..
 
Wewe binafsi umeleta mafanikio yenye impact gani hata katika jamii inayokuzunguka, tuanzie hapo kwanza.

Kila jambo lina faida na hasara ama uzuri na ubaya wake.

Kwa nini umeweka failures zake tupu kabla ya kuweka mafanikio yake kwanza?

Mimi ninadhani kwa uandishi wako huo wenye chuki, wewe ni mmoja wapo wa "elements" zilozobanwa mbavu hadi kushindwa kupumua!

Sasa pakupumulia na kutemea nyongo palipobakia salama pekee ni jf penye id feki.

Embu nenda insta ama kwenye magroup ya whatsup katumbue hiyo nyongo yako ya chuki tuone.
Shughuli yoyote inayohitaji ubunifu wa mtu, huwa haitakiwi kubezwa ilimradi huyo anayebuni awe na nia njema ya kujenga na si kubomoa.
Ebu tutajie mafanikio yake, inaonekana wewe unajua zaidi.
Mi namjua yule bwana ni mropokaji mwenye kiburi empty set.
 
Then walimu kupanda daladala kwa kitambulisho👌🏻
Now kudai waliokula pesa za taifa Stars 💪🏽
 
Kuanzia mwezi february 2019, muda wa kufunga Bar za Dsm itakuwa ni saa nane kamili usiku
Hili agizo sijafahamu kama alifaulu ama amefeli!
 
Nimejaribu kumfuatilia huyu bwana sidhani kama anafanya kazi zake kwa weledi inaonekana ni mtu wa kukurupuka tu bila mpango wowote. naamini angekuwa nje ya DAR sidahani kama angeweza kuongoza.

Dar ina mbeba kozi serikali yote iko hapa, raisi yupo hapa, wakuu wa wilaya wanafanya kazi zao vizuri,vyombo vya usalama viko makini na kikubwa zaidi raia wa DAR wanajitambua hawapelekwi kama ng'ombe.

mipango ya hovyo ya makonda iliyofail
1.DAR mpya
2.Mti wangu
3.Kampeni ya tezi dume.
4.msaada wa kisheria kwa akina mama juu ya miradhi .
5.Akina baba waliotelekeza.
6.Yard za magari kuhamia kigamboni
7. Ushindi kwa taifa stars.
8.Kampeni ya usafi dar es salaamu hadi mgambo wakawa wanapiga raia.

mi ndo nimeona ivo kama kuna jambo kafanikisha mnitajie ambalo wakuu wengine wa mkoa Dar liliwashinda
umesahau ile amri yake ya kufunga bar ifakapo saa tano usiku ambapo baadae alipoona amri aliyoitoa ilikuwa haitekelezeki, akaja kuitengua

wahuni tulikuwa tunakula gambe mpaka saa nane usiku bila kujari amri ya kijinga ya makonda.

haiwezekani pesa nitafute mwenyewe halafu mjinga mmoja aje kunipangia ratiba ya kula bata.
 
Back
Top Bottom