Paul Makonda: Alama ya uongozi uliotufikisha hapa

Ushauri au unamkatisha tamaa?linganisha kasi ya makonda na Rc yoyote unaemuona wewe kuwa ni mchapa kazi halafu tuletee
Mchapa kazi huwa mkimya na huwezi kuwa muongeaji mno na hapohapo kuwa mtendaji hodari. Kumbuka enzi ya baba wa taifa.
 
Makonda piga kazi. Piga kazi. Sio lazima kila mtu akubali, piga kazi.

apige kazi gani sasa, maana tangu ateuliwe ni mzee Wa matamko ambayo hayafanyiwi kazi, labda mshauri kama sisi tunavyoshauri hapa utakuwa umemsaidia na kulisaidia taifa letu pia
 
wote hapa tunajua ww ni mke wake, lakini mtetee taratibu bila jazba.

kabisa mkuu, umepatia sana, kwa sababu situmii jina kamili, angalia usije kuwa unabishana na baba yako,

mm yako ana kovu kwenye paja la kulia aliungua na moto akiwa mtoto...ha ha ha

lile haliwezi kupona, japo kajitahidi sana

ulilivuka wakati unatoka
 
Yaan umekiri kuwa unamtetea Mumeo sio ?
 
Yaan umekiri kuwa unamtetea Mumeo sio ?

yaani hapo kilichokushtua ni nini mkuu?

unaweza kuzuia mdomo usitamke? au akili isiwaze?

kama aliwaza akiwa na akili timamu unataka umbishie ili iweje?

au akiwazacho mtu ndio kinakuwa upande wa pili?? acheni presha za kitoto

kwa hiyo wewe unaona alivyosema hivyo ndio nini kimebadilika? amekufurahisha?

ha ha ha
 
mtafute MTU anaitwa Mike Sonko.........sio unakurupuka tu

ha ha ha, pumba hizi

umekosa mfano bongo umeenda nchi jirani?

I mean, can we do things simultaneously? whats wrong kukosoa au kusema ubaya wa hiki hata kama kile ulichokisema juzi bado kinatekelezeka?

Makonda amewaacha juu mno

I dont like him, any way, ila nakubali speed yake; hata kama unaiona ni poor, he is far better than many leaders of our time

jengeni utamaduni wa kukubali kazi au ideas za mtu , hataka huyo mtu haumpendi

mtapata sana vidonda vya tumbo na pressure kila mnapomsikia

kamfunika meya, ??? ha ha ha
 
Nadhani hata mnamo karne ya 5 Himaya ya Roma ilianguka na sabab kubwa aliyo itoa msomi mmoja anaitwa St. Thomas Acquinas ni Punishment from God ! Sishangai na CCM kuanguanguka na kusahaulika kabxa mda syo mref. Hata Mungu anaona walivoingia madarakan ni kwa staili gani halafu wanasema et Tuwaombee, ooh kwa Mungu yupi uyo jaman Tuwaombee watu kama hawa walioishiwa sera???????

mmh

JF imevamiwa

muda si mrefu uchaguzi umeisha juzi tu, hizi dua za kukua hizi

wewe lazima ni ka njuni au kakifaranga

waza weka strategy za kuiondoa CCM, they are bad people....lakini sio kwa wishful thinking kama zako
 
Viongozi wa matamko hahahahahaaaa. Mkuu wa Mkoa wa Arusha husema "Itv mnaniona vizuri?" Kabla ya press kuanza. Tutawapima kwa maendeleo 2020.
 
mmh

JF imevamiwa

muda si mrefu uchaguzi umeisha juzi tu, hizi dua za kukua hizi

wewe lazima ni ka njuni au kakifaranga

waza weka strategy za kuiondoa CCM, they are bad people....lakini sio kwa wishful thinking kama zako
There are many strategies to sweep away this useless government. Maana yang ni kwamba haya maagizo yanayotolewa then utekelezaji wake ni invisible inakuwaj kama syo punishment for God???????
 
kabisa mkuu, umepatia sana, kwa sababu situmii jina kamili, angalia usije kuwa unabishana na baba yako,

mm yako ana kovu kwenye paja la kulia aliungua na moto akiwa mtoto...ha ha ha

lile haliwezi kupona, japo kajitahidi sana

ulilivuka wakati unatoka

samahani kumbe ni mwanaume!! Aina yako ya utetezi imekuwa kama ni ya she.
 
yaani hapo kilichokushtua ni nini mkuu?

unaweza kuzuia mdomo usitamke? au akili isiwaze?

kama aliwaza akiwa na akili timamu unataka umbishie ili iweje?

au akiwazacho mtu ndio kinakuwa upande wa pili?? acheni presha za kitoto

kwa hiyo wewe unaona alivyosema hivyo ndio nini kimebadilika? amekufurahisha?

ha ha ha
No Bi Mkubwa,Nimeukiza kuwa umekiri kuwa unautetea ubavu uliotokea sio ?
Huu mchezo hauitaj hasira Mama
 
There are many strategies to sweep away this useless government. Maana yang ni kwamba haya maagizo yanayotolewa then utekelezaji wake ni invisible inakuwaj kama syo punishment for God???????

believe me , his is far better than may RCs under CCM....utake usitake

Makonda, ni mbunifu .....aina hii ya viongozi....anawaza na kufikiria what he should do ....

kama ana wasaidizi na watekelezaji wazuri, RCs anakuwa initiator tu, mengine wanamalizia wengine

kwa ufahamu wangu mkubwa tuna mizigo ya viongozi mizigo, we dont have leaders kwenye nchi zetu hizi

haka kakijana japo kanachukiwa, kanaonyesha nini kiongozi anatakiwa kuwaza na kusema...kila siku

tusimzimishe
 
Back
Top Bottom