Paul Makonda aikoromea Mwananchi juu ya kauli za wanaotaka ajitafakari: Yaani unanunua vocha na kupoteza muda wako kutaka kujadili hilo?

Mnaacha kumuuliza ombaomba watahamia lini Dodoma mnauliza mambo ya udaku...hata mimi namuunga mkono. Na sio ombaomba tu, idara nyingi tu zinapaswa kuhama :D:D:D
Ombaomba kwenda Dodoma ni kurudi nyumbani sio kuhamia.Majority ya hawa watu ni wa huko Dar wamekuja tu kukusanya ushuru.
 
Huyu dogo ni Sikio la Kufa, kamwe haliwezi sikia dawa! Bado ni Jeuri na mwenye Maringo saana! 'Kweli, Ukiona Imbwa ipo Juu ya Mti Ujue kuna Mtu kaipandisha'-Seseseko!
Kwenye hili Makonda kafanya jambo la kupongezwa....mnataka kuulizia mambo ya kijinga kijinga acha mkome...
 
View attachment 865750

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, jana wakati akihojiwa na Mwananchi juu ya Kauli za Viongozi Wakuu wa Chama na Serikali dhidi yake, alikataa kujibu swali hilo na kukata siku baada ya kujibu kuwa: Yaani unanunua vocha na kupoteza muda wako kutaka tujadili hilo?!

View attachment 865757

View attachment 865758
Upuuzi wote anaofanya Makonda mi naanza kufikiri anaandamwa bure tu...anayoyafanya ni uchafu wa Jiwe, yeye ni wakala wa shetani tu basi
 
Hao mwananchi hawana nidhamu, utamuuliza vipi "Naibu Raisi" maswali ya namna hiyo. Chapa kazi makonda
 
Ni kweli, Jamaa ni Jasiri haswa.
Baadhi ya watu bado wanachuki naye baada ya kuwataja waliodhaniwa kujihusisha na madawa ya kulevya.
Ile chuki bado inaendelea, akifanya kosa kidogo ya mahali flani ile chuki inalipuka tena na tena.
Kushindwa kulipia kodi bidhaa bandalini sio kosa la jinai, viongozi wengi huko nyuma walishindwa kukomboa mali zao bandalini na zilipigwa mnada kimya kimya bila mgogoro wowote.
Sema yale madawa bwana bado yanakumbukwa, bado yanaumiza wengi, na bado yatasumbua sana na kumsumbua sana Makonda.
Yale madawa ya Kulevya.
Sio hoja kwamba viongozi walishindwa kulipa kodi huko nyuma!!! Hapa issue ni jinsi makonda ambavyo hakufuata maadili!!! Kawatisha TRA, waziri wa fedha pia kamdhalilisha Rais binafsi. Pia katoa taarifa za uwongo!! Ni jinai.
 
Jamani tuwe wakweli kama Mama kilango aliwajibishwa kwa kusema kwamba mkoani kwake hakuna watumishi hewa .Na hili la mh.Makonda lipi lina ukakasi? Let's be honesty to ourselves. Rais hasaidiwe kuambiwa ukweli but in a very polite manner! Kwamba kuna mambo yanaleta ukakasi!! Double standards za nini? Unatugawaaaaaa!!! Aambiwe!! Ni wajibu wetu kufanya hivyo!! We all want a better and greater Tanzania!!
 
Hao mwananchi hawana nidhamu, utamuuliza vipi "Naibu Raisi" maswali ya namna hiyo. Chapa kazi makonda
Mwananchi wameshajichanganya tena kwa Mtatiro. Naona jamaa naye kawavalia njuga. Ngoja tuone ma-sterling wanavyoparurana.
 
Asilimia 95 ya waandishi wa habari hawana sifa stahiki katika tasnia ya habari kama uwezekano upo ingekua vema wakapate walau shortcourse ya ethics.
 
Ni kweli, Jamaa ni Jasiri haswa.
Baadhi ya watu bado wanachuki naye baada ya kuwataja waliodhaniwa kujihusisha na madawa ya kulevya.
Ile chuki bado inaendelea, akifanya kosa kidogo ya mahali flani ile chuki inalipuka tena na tena.
Kushindwa kulipia kodi bidhaa bandalini sio kosa la jinai, viongozi wengi huko nyuma walishindwa kukomboa mali zao bandalini na zilipigwa mnada kimya kimya bila mgogoro wowote.
Sema yale madawa bwana bado yanakumbukwa, bado yanaumiza wengi, na bado yatasumbua sana na kumsumbua sana Makonda.
Yale madawa ya Kulevya.
Madawa ya kulevya tena? Huo mpango uliotumika mchafu wa kujisafisha yeye na baba yake kisiasa ndo unaomfanya mwijiri wake akose nafasi ya maamuzi juu yake
 
Ni kweli, Jamaa ni Jasiri haswa.
Baadhi ya watu bado wanachuki naye baada ya kuwataja waliodhaniwa kujihusisha na madawa ya kulevya.
Ile chuki bado inaendelea, akifanya kosa kidogo ya mahali flani ile chuki inalipuka tena na tena.
Kushindwa kulipia kodi bidhaa bandalini sio kosa la jinai, viongozi wengi huko nyuma walishindwa kukomboa mali zao bandalini na zilipigwa mnada kimya kimya bila mgogoro wowote.
Sema yale madawa bwana bado yanakumbukwa, bado yanaumiza wengi, na bado yatasumbua sana na kumsumbua sana Makonda.
Yale madawa ya Kulevya.
We mgogo, sio bandalini ni bandarini.

Hayo madawa unayoyazungumzia, ndio hizo kesi 2 za watu kutozwa faini milioni 3?

Nenda pale Mwananyamala A kituoni kawaone wazee wa alosto wananesa kama kawa
 
Back
Top Bottom