Paul Makonda aikoromea Mwananchi juu ya kauli za wanaotaka ajitafakari: Yaani unanunua vocha na kupoteza muda wako kutaka kujadili hilo?

Daimler

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
556
973
IMG_8272.JPG

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, jana wakati akihojiwa na Mwananchi juu ya Kauli za Viongozi Wakuu wa Chama na Serikali dhidi yake, alikataa kujibu swali hilo na kukata siku baada ya kujibu kuwa: Yaani unanunua vocha na kupoteza muda wako kutaka tujadili hilo?!

IMG_8273.JPG

IMG_8274.JPG
 
Mnaacha kumuuliza ombaomba watahamia lini Dodoma mnauliza mambo ya udaku...hata mimi namuunga mkono. Na sio ombaomba tu, idara nyingi tu zinapaswa kuhama :D:D:D
Zikihama hizo idara hao ombaomba wanafaidika nini?Badala ya na wewe kuomba mwanachi wamuulize kuwa ombaomba wanaishaje jijini,wewe unaonekana unataka wahamie dodoma.Inaonesha akili yako na Bashite zinafikiria sawa.
 
Tatizo la waandishimwa siku hizi wamepungukiwa mbinu za kuhoji.
Sasa kama unahoji kwa kukurupuka wakati unayemhoji ni mkurupukajim fika unategemea nini??!!

Wakati mwingine DAB anastahili kuwajibu kama anavyowajibu. Tittle mnazoandika zinadhihirisha hilo.

************************
Hadi leo sijui ni kwa namna gani DAB anamudu kusurvive katika nafasi aliyonayo. Au ndiyo ule msemo wa kila mtu na fungu lake!
 
Huyu dogo ni Sikio la Kufa, kamwe haliwezi sikia dawa! Bado ni Jeuri na mwenye Maringo saana! 'Kweli, Ukiona Imbwa ipo Juu ya Mti Ujue kuna Mtu kaipandisha'-Seseseko!
Dogo bado ana jeuri sana asee
 
Zikihama hizo idara hao ombaomba wanafaidika nini?Badala ya na wewe kuomba mwanachi wamuulize kuwa ombaomba wanaishaje jijini,wewe unaonekana unataka wahamie dodoma.Inaonesha akili yako na Bashite zinafikiria sawa.
Utajiumiza mishipa ya koo bure kubishana na sanamu hali ya kwamba mmepishana maudhui. Siku nyingine ukiona emoji zimesindikiza ujumbe, tafakari kusudio la mwandishi.

Bashite hahusiki na kuhamisha idara yeyote kwenda Dodoma, ungewaza tu hilo usingekuwa na haja ya kunikurupukia.
 
Huyu jamaa ni jembe, walisusia habari zake, na akagoma kuomba msamaha kwa kuwatamkia live, lakini wao ndo wanahangaika kutafuta habari zake.
Ni kweli, Jamaa ni Jasiri haswa.
Baadhi ya watu bado wanachuki naye baada ya kuwataja waliodhaniwa kujihusisha na madawa ya kulevya.
Ile chuki bado inaendelea, akifanya kosa kidogo ya mahali flani ile chuki inalipuka tena na tena.
Kushindwa kulipia kodi bidhaa bandalini sio kosa la jinai, viongozi wengi huko nyuma walishindwa kukomboa mali zao bandalini na zilipigwa mnada kimya kimya bila mgogoro wowote.
Sema yale madawa bwana bado yanakumbukwa, bado yanaumiza wengi, na bado yatasumbua sana na kumsumbua sana Makonda.
Yale madawa ya Kulevya.
 
Utajiumiza mishipa ya koo bure kubishana na sanamu hali ya kwamba mmepishana maudhui. Siku nyingine ukiona emoji zimesindikiza ujumbe, tafakari kusudio la mwandishi.

Bashite hahusiki na kuhamisha idara yeyote kwenda Dodoma, ungewaza tu hilo usingekuwa na haja ya kunikurupukia.
Sawa bro.ndo maana nikaona kama unaakili sawa na mtu asiye na cheti.kama sikukuelewa basi, sorry.
 
Ni kweli, Jamaa ni Jasiri haswa.
Baadhi ya watu bado wanachuki naye baada ya kuwataja waliodhaniwa kujihusisha na madawa ya kulevya.
Ile chuki bado inaendelea, akifanya kosa kidogo ya mahali flani ile chuki inalipuka tena na tena.
Kushindwa kulipia kodi bidhaa bandalini sio kosa la jinai, viongozi wengi huko nyuma walishindwa kukomboa mali zao bandalini na zilipigwa mnada kimya kimya bila mgogoro wowote.
Sema yale madawa bwana bado yanakumbukwa, bado yanaumiza wengi, na bado yatasumbua sana na kumsumbua sana Makonda.
Yale madawa ya Kulevya.
Kweli mkuu, chukulia mpaka waziri eti anakwenda bandarini, wakati kwenye makinikia hakwenda.
 
Professor Paul Makonda Sio wa kushindana nae
He he he, alianza Prof Lipumba tukajua ni bogus, akaja Prof Ossoro tuajua ni rubbish maana hata Trilioni 450 ni uongo, akajitokeza Prof Kabudi hapo tumeona uchapiaji, eti Magu anaweza kukaa na mama Janet wakatunga sheria! huu ni uboza.
Sasa kumbe naye Makonda ni Professor?
Anyway labda wote ni kundi moja na kiongozi wao ndio yule ametangulia mbele ya haki. Professor Majimarefu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom