Paul Makonda Ageuka Kivutio Kwenye Viwanja vya Bunge. Watu Wapigana Vikumbo na kung'ang'aniana kupiga Naye Picha

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,357
Reaction score
23,760
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na kupewa kibali na Mungu. Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Wa kaskazini Paul Makonda anapendwa , kukubalika na kuaminika sana. Huyu Mwamba ni balaa kwelikweli,upepo wake siyo wa Kawaida. Akipita sehemu utafikiri Mfalme kapita au Nabii Jangwani.

Mwamba Amejikuta akigeuka kivutio na akipata wakati Mgumu kwelikweli katika Viwanja vya Bunge .pale ambapo watu mbalimbali walipoanza kupigana vikumbo na kung'ang'aniana kutaka kuwahi kupiga naye picha za ukumbusho katika Simu zao.

Ilikuwa anapiga picha na huyu huku wengine wakiwa pembeni wakisubiri nao wapige naye picha. Ilifika hatua Watu wakawa wanaamua kumzunguka tu kila eneo ili wasije wakakosa fursa ya kupiga naye picha .Maana ikawa ni kama wanaona watakosa nafasi ya kupata naye picha.

Kwa hakika huyu Mwamba kuna kusudi kubwa ambalo Mungu analo juu yake na juu ya Taifa letu kwa siku zijazo. Maana siyo kwa kupendwa na kukubalika huku. Yaani kuna wabunge makumi kwa Mamia lakini watu wanajikuta wanakusanyika na kumzunguka yeye tu ili kupata picha ya pamoja.

Nyota njema huonekana asubuhi. Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Paul Makonda ni Nyota ing'aayo. Huwezi kumzuia Huyu Mwamba kupendwa na watu. Unaweza mchafua,kumsema vibaya ,kumsingizia na kumzushia uongo wa kila aina uwezavyo lakini huwezi kuondoa upendo walionao watu kwake.

Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Yaani unavyomchukia ndivyo anavyopaa zaidi kama Ndege vita vile za Mmarekani. Yaani Huyu Mwamba ni Mwamba kwelikweliiiiiii.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
IMG-20251104-WA0054.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na kupewa kibali na Mungu. Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Wa kaskazini Paul Makonda anapendwa , kukubalika na kuaminika sana. Huyu Mwamba ni balaa kwelikweli,upepo wake siyo wa Kawaida. Akipita sehemu utafikiri Mfalme kapita au Nabii Jangwani.

Mwamba Amejikuta akigeuka kivutio na akipata wakati Mgumu kwelikweli katika Viwanja vya Bunge .pale ambapo watu mbalimbali walipoanza kupigana vikumbo na kung'ang'aniana kutaka kuwahi kupiga naye picha za ukumbusho katika Simu zao.

Ilikuwa anapiga picha na huyu huku wengine wakiwa pembeni wakisubiri nao wapige naye picha. Ilifika hatua Watu wakawa wanaamua kumzunguka tu kila eneo ili wasije wakakosa fursa ya kupiga naye picha .Maana ikawa ni kama wanaona watakosa nafasi ya kupata naye picha.

Kwa hakika huyu Mwamba kuna kusudi kubwa ambalo Mungu analo juu yake na juu ya Taifa letu kwa siku zijazo. Maana siyo kwa kupendwa na kukubalika huku. Yaani kuna wabunge makumi kwa Mamia lakini watu wanajikuta wanakusanyika na kumzunguka yeye tu ili kupata picha ya pamoja.

Nyota njema huonekana asubuhi. Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Paul Makonda ni Nyota ing'aayo. Huwezi kumzuia Huyu Mwamba kupendwa na watu. Unaweza mchafua,kumsema vibaya ,kumsingizia na kumzushia uongo wa akili aina uwezavyo lakini huwezi kuondoa upendo walionao watu kwake.

Hu mpuuzi sana ,watz wenye akili hakuna atakae sikia ujinga huu ,Makonda ni nani ndani ya nchi hii ,uyu ni muhuni kama wahuni wengine ,amechaguliwa kwa kura ngapi jimboni kwake.

Nikutake acha amsha asira kwa watu ,kitakulamba sio mda ,Taifa lipo kwenye maombolezi we unakuja na upambavu wa Makonda , katika uchaguzi huru uyu angekuwa nafasi ya mwisho
 
Mheshimiwa Paul Makonda Ni kipenzi cha watanzania.angalia alipokuwa Mwenyezi wa CCM Taifa namna mikutano yake alivyokuwa akibeba na kukusanya watu utafikiri mchanga wa Baharini.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na kupewa kibali na Mungu. Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Wa kaskazini Paul Makonda anapendwa , kukubalika na kuaminika sana. Huyu Mwamba ni balaa kwelikweli,upepo wake siyo wa Kawaida. Akipita sehemu utafikiri Mfalme kapita au Nabii Jangwani.

Mwamba Amejikuta akigeuka kivutio na akipata wakati Mgumu kwelikweli katika Viwanja vya Bunge .pale ambapo watu mbalimbali walipoanza kupigana vikumbo na kung'ang'aniana kutaka kuwahi kupiga naye picha za ukumbusho katika Simu zao.

Ilikuwa anapiga picha na huyu huku wengine wakiwa pembeni wakisubiri nao wapige naye picha. Ilifika hatua Watu wakawa wanaamua kumzunguka tu kila eneo ili wasije wakakosa fursa ya kupiga naye picha .Maana ikawa ni kama wanaona watakosa nafasi ya kupata naye picha.

Kwa hakika huyu Mwamba kuna kusudi kubwa ambalo Mungu analo juu yake na juu ya Taifa letu kwa siku zijazo. Maana siyo kwa kupendwa na kukubalika huku. Yaani kuna wabunge makumi kwa Mamia lakini watu wanajikuta wanakusanyika na kumzunguka yeye tu ili kupata picha ya pamoja.

Nyota njema huonekana asubuhi. Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Paul Makonda ni Nyota ing'aayo. Huwezi kumzuia Huyu Mwamba kupendwa na watu. Unaweza mchafua,kumsema vibaya ,kumsingizia na kumzushia uongo wa akili aina uwezavyo lakini huwezi kuondoa upendo walionao watu kwake.

Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Yaani unavyomchukia ndivyo anavyopaa zaidi kama Ndege vita vile za Mmarekani. Yaani Huyu Mwamba ni Mwamba kwelikweliiiiiii.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Mwanaume anaeongoza kusifia wanaume wenzake
 
Wewe ndo utakua makonda mwenyewe sasa unajisifia mwambie aende Marekani wakapige naye picha huko, huyu si ndo Tundu Lissu kamtaja sana, Marekani walisema anatishia maisha ya watu leo kageuka lulu kwa Watanzania hakuna kitu hapo, Arusha kafanya lipi au kulisha watu nyama na bia.
Wewe endelea kujisifia ila huna jipya.
Endelea kuomba Toba.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na kupewa kibali na Mungu. Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Wa kaskazini Paul Makonda anapendwa , kukubalika na kuaminika sana. Huyu Mwamba ni balaa kwelikweli,upepo wake siyo wa Kawaida. Akipita sehemu utafikiri Mfalme kapita au Nabii Jangwani.

Mwamba Amejikuta akigeuka kivutio na akipata wakati Mgumu kwelikweli katika Viwanja vya Bunge .pale ambapo watu mbalimbali walipoanza kupigana vikumbo na kung'ang'aniana kutaka kuwahi kupiga naye picha za ukumbusho katika Simu zao.

Ilikuwa anapiga picha na huyu huku wengine wakiwa pembeni wakisubiri nao wapige naye picha. Ilifika hatua Watu wakawa wanaamua kumzunguka tu kila eneo ili wasije wakakosa fursa ya kupiga naye picha .Maana ikawa ni kama wanaona watakosa nafasi ya kupata naye picha.

Kwa hakika huyu Mwamba kuna kusudi kubwa ambalo Mungu analo juu yake na juu ya Taifa letu kwa siku zijazo. Maana siyo kwa kupendwa na kukubalika huku. Yaani kuna wabunge makumi kwa Mamia lakini watu wanajikuta wanakusanyika na kumzunguka yeye tu ili kupata picha ya pamoja.

Nyota njema huonekana asubuhi. Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Paul Makonda ni Nyota ing'aayo. Huwezi kumzuia Huyu Mwamba kupendwa na watu. Unaweza mchafua,kumsema vibaya ,kumsingizia na kumzushia uongo wa akili aina uwezavyo lakini huwezi kuondoa upendo walionao watu kwake.

Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Yaani unavyomchukia ndivyo anavyopaa zaidi kama Ndege vita vile za Mmarekani. Yaani Huyu Mwamba ni Mwamba kwelikweliiiiiii.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Makonda ana kivutio gani zaidi ya utekaji, utesaji, ubakaji na ufiraji. Subiri mama yako abakwe ndiyo utaacha kusifia huyo tapeli ambaye hakuchaguliwa ubunge na mtu yeyote yule.
 
Back
Top Bottom