Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amefunguka na kutoa ya moyoni kuhusiana na shutuma kadhaa anazorushiwa kufuatia uteuzi wake.
Akizungumza na gazeti la Tanzania Daima Msemaji huyo wa Chipukizi wa UVCCM anesema ni kweli yasemwayo kwamba anatumika kumzima Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa anayetarajiwa kuomba uteuzi wa kugombea urais kupitia CCM.
""Hivi kati ya anayetumika kukibomoa chama na yule anayetumika kukiimarisha ni yupi ana Faida?....vijana ndiyo walinzi wa chama na sitakubali kiharibiwe na watu wachache wenye masilahi ya madaraka""" Alinukuliwa Makonda akisema
Source : Tanzania daima.
naona makonda anataka kupima ubavu na lowasa

Eti ndie Mkuu Wa wilaya anayefunga mtoto wa mfalme kamba za viatu..
Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amefunguka na kutoa ya moyoni kuhusiana na shutuma kadhaa anazorushiwa kufuatia uteuzi wake.
Akizungumza na gazeti la Tanzania Daima Msemaji huyo wa Chipukizi wa UVCCM anesema ni kweli yasemwayo kwamba anatumika kumzima Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa anayetarajiwa kuomba uteuzi wa kugombea urais kupitia CCM.
""Hivi kati ya anayetumika kukibomoa chama na yule anayetumika kukiimarisha ni yupi ana Faida?....vijana ndiyo walinzi wa chama na sitakubali kiharibiwe na watu wachache wenye masilahi ya madaraka""" Alinukuliwa Makonda akisema
Source : Tanzania daima.
Tanzania ya leo inataka watu kama akina MAKONDA, MWIGULLU na MUHONGO. haogopwi mtu na pesa zake anaogopwa Mungu tu, safi sana Makondajamaa ana ulimi mzito kama kameza chura vile,huo ujasiri wa kuongea mbovu kwa lowassa sijui ana utoa wapi?
Tanzania Daima taaluma ya uandishi ni zero kabis. Mngetuwekea audio au video kuhalalisha huu upuuzi wenu basi.
jk anatoa cheo hata ukiifanyia familia yake vitu minor like tying his son's shoe lace.Eti ndie Mkuu Wa wilaya anayefunga mtoto wa mfalme kamba za viatu..